Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Huyu jamaa ana tatizo la 'kiakili' psychiatry ishu.
Maana yupo katika hallucinations kua bikra is everything.
Ni wa kumuacha tu kama sio kumpuuza.
 
Kila mwenye mapungufu angetengwa kutokana na mapungufu yake basi hata Mungu angeshatutenga na dunia hii tusipate hata bahati ya kuwahukumu wengine muda huu kwa kupost nyuzi kama hizi.
 
watakuwa watoto wapumbavu kama walivyo wapumbavu, mtoto umleavyo ndivyo akuavyo na mwana wa nyoka ni nyoka
Maji ufata mkondo na tembo hasahau njia waliyopita.
Sasa kumbuka ulivyo kuwa unakula watoto wa wengne ndivyo hvyo hvyo na wako wataliwa na kuwala pia.
 
Kila mwenye mapungufu angetengwa kutokana na mapungufu yake basi hata Mungu angeshatutenga na dunia hii tusipate hata bahati ya kuwahukumu wengine muda huu kwa kupost nyuzi kama hizi.
Tusiwatenge ila tuishi nao tukitambua NI SIKIO LA KUFA...eleweni gist ya issue anayosema mleta post.

Naunga mkono na mm siwezi beba single maza ilhali kuna totoz fresh kabisa. Asilani!
 
Mbona kama umepanic?

Kama hauna bikra ndo hauna hivyo

Na kama ni single mother nikupe pole in advance
 
Imagine . Aibu kubwa sana imagine uko kwenye hiyo sherehe aisee hata ubwabwa ningeacha niondoke zangu. Second hand embarrassment for Bibi harusiii
 
Mkuuu, muombaji na mtoaji nani anatakiwa kusisitizwa zaid, na athar nani anazipata zaidi??? Kibamia lazima kije kiwe kama mfano mkuu😆
Nikuulize wewe, nani anaathirika bikra ikitolewa? Bikra kila mtu anazaliwa na muda ukifika inatolewa/unaipoteza, shida Iko wapi?

Kama una kibamia , una kibamia bikra haitakusitiri.pole sana.
 
Bikra Ni Jambo zuri..na la heshima..Uzinifu Ni mbaya kwa wote...Wanaume na wanawake.

Ila kujitunza na kujiheshimu Ni jambo zuri Sana..
 
Kama huyo mama mkwe alikukenulia meno tu na hakuivunja hiyo ndoa kabla hujamaliza maneno yako ya shombo basi atakuwa ana mdondo.
 
Acha kujikuta wewe ..huna uwezo wa kumuacha uyo manzi, utakufa..

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…