Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Mkuu bi Hadija hakuwa mchafu bali ni mwanamke aliyekuwa amefiwa na mume. Kwa kawaida mwanamke aliyeolewa akiwa bikra kisha mumewe akafa na yeye akabaki bila kuzini huyo bado ni msafi. Hata huyo anayesema ameoa bikra ukweli ni kwamba ameoa mwanamke mzinzi kwasababu walifanya tendo kabla ya ndoa, hao wote ni wazinzi. Kitendo cha kukubali kutoa uchi kabla ya ndoa ni uzinzi, hilo lipo wazi, kwasababu hata joka jeusi kama asingemuo huyo dada it means bikra yake ingekuwa ishavinjwa na kuolewa bado.

Jamani, tuseme ukweli, usafi wa ndoa ni wa wote wawili. Nakubaliana na mleta mada kuwa ndoa nyingi kwa sasa ni za washirika na sio wanandoa, ndio maana wanawake hawako tayari ku Sacrifice baadhi ya vitu kwa ajili ya ndoa zao na kadhalika wanaume. Wengi tunaishi kishirika na sio kindoa kwasababu ya uchafu wetu tulionao. Ukweli ni kwamba uzinzi ni uchafu mkubwa sana unachafua hadi kizazi tulichonacho, ni bahati mbaya Mambo haya ni ya kiroho sana watu wengi hawajui. "Kwa waislam Quran ipo wazi kabisa, mwanaume mzinzi humuoa mwanamke mzinzi na kadhalika mwanamke mzinzi huolewa na mwanaume mzinifu", haya maneno ni kweli, kale la laana ka uzinzi kanakuwa ndani yenu hata kama mlikutana wote mkiwa mabikra lkn mkafanya tendo kabla ya ndoa yenu, hakika nyinyi ni wazinzi na hukuna tofauti na wazinzi wengine, hivyo hako katabia kanakuwa kapo ndani yenu
 
Hapana, usafi huu unapaswa kuwa kwa wote, mwanaume na mwanamke. Ni bahati mbaya hakuna namna ya kuthibitisha usafi wa mwanaume. Mwanamke akiwa msafi basi walau familia inakuwa safi angalau kwa asilimia 50.
Siwezi bisha juu ya hili..lakini Ni jukumu ya mwanaume na mwanamke kutuikimbilia Zinaaa....
 
Siwezi bisha juu ya hili..lakini Ni jukumu ya mwanaume na mwanamke kutuikimbilia Zinaaa....
Wala Mimi sikupingi pia mkuu. Wote wawili wanawajibu huo, hapana ubishi juu ya hoja yako. Kikubwa kukubali makosa na kisha kujisahihisha.
 
Asante kunielimisha....juu ya bi Hadija..

Kama lengo Ni kuwa na kizazi kilicho chema...ili hao watoto wa Mkuu Jokha jeusi walio wasafi wapate wenza Wazuri..

Zinaa ikemewe tena ikemewe sana kwa jinsia zote... Japo kiukweli zinaa kwa mwanamke Ina madhara makubwa kuliko mwanaume
 
Umeandika kwa Maneno makali sana.
Lakini ndo hivyo ukweli mchungu, inauma hasa nikijaribu kumfikiria Baba Diamond.!
 
Umeandika kwa Maneno makali sana.
Lakini ndo hivyo ukweli mchungu, inauma hasa nikijaribu kumfikiria Baba Diamond.!
 
Nachokuombea mleta bandiko..Tabia ulomkuta nayo mkeo..Ibaki hivyo Hadi kufa kwako....hakika muiombee Sana hiyo ndoa yako..maana umeifanya ya kuigwa...na ya mfano..

Kama unaombaga Mungu..Basi zidhisha maombi katika Hilo ..
 
Mkuu zinaa ni mbaya kabisa kwa jinsia zote, bahati mbaya hili jambo huwa halidhihiriki haraka kimwili, bali huanza kudhihirika kizazi baada ya kizazi maadili yanapoanguka. Mwanamke akiwa msafi, jamii nzima inakuwa safi ndio maana jamii hukazania mwanamke awe bikra. Sababu ni kuwa wanawake wote wakiwa wasafi ni automatiki wanaume pia watakuwa wasafi maana watakuwa hawana wa kuzini nao
 
Sawa...
 
Huu ndio ukweli mchungu!!! Wanaume ambao tuko kwenye Mahusiano na wanawake tuliowakuta hawana bikra tuko njia panda tuwaoe au ty cancel mara moja kabla hatujaona.
 
Upo sahihi mkuu. Tuishi maisha ya kupendeza Mwenyezi MUNGU sote kwa pamoja. Tujutie tulipodondoka na tujisahihishe na tuanze upya kwa ajili ya uzao wetu
 
Alie karibu na huyu kichaa amuwahishe hospitali huyu amewehuka kisaikolojia sio bure.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Tumuulize amebikiri wangapi? Halafu hizo bikira anazitoa wapi? maana dada zetu 18+ wengi wao hawana bikira.
Bikira zilizopo ni za watoto.
Huyu mwamba ndo anayetuharibia watoto zetu maana sio kwa kupenda bikira huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…