Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Mpe bikra ya mlango wa pili huwenda akatulia [emoji23][emoji23]
Heee nmpe joka atulie...
Ye aendelee tu kwakwel
Me sina hofu na bkra wala post zke! sasa n mama wa watoto 2 mke wa mume
mmoja tu, wala siwaz chepuka... Mume Wangu wala hana shda za joka anazoelezea hapa. Wala
siwashwi na post za joka am just commentng for fun dear.....
Sasa hi bkra nyngne wacha nkae nayo tu kama pambo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hongera sana Madam na uilinde maana ukiteleza na ukapata mchepuko utaishia kuitoa hiyo bikra ya mlango wa pili
 
[emoji444]wengi wao wameolewa na machenza .
..ndoa zao wameshindwa kuzitunza
na wangapi wameolewa na machungwa
ndoa zao mpaka sasa wanazitunza [emoji444]
Suma lee huyo
 
Hizo data zako umetumia njia gani kuzikusanya mkuu maana naona 5% 3% 95% na nyinginezo au ni hisia zako tu.
Na kwa mujibu wa post zako hujaoa single mother wewe huo ukichomi wao umeujulia wapi au unashinda nao sana mkuu
 
I wish i can turn back time...
 
Hakuna kitu hapo!!, wangapi wameoa bikra na wakafumania na ndoa mpaka leo hakuna? hii hoja niya kitoto sana
 
Bikra unayo au huna?





Cc: mahondaw
 

Sasa ndio maana nasema hupaswi kuoa mwanamke asiye na bikra ili kuepusha madhila, wewe endelea kutimua vumbi hapa lakini halitawafanya vijana wasione hasa wenye lion attitude wale wa Hyena attitude wapo wanakusubiri

Fisi pia ni mnyama na ni bwana Afya wa porini
 
Endelea kushusha vitu mkuu ,ni ukweli usiopingika .
 

Yupo sahihi hasaa...

UNADHANI HUYU ANGEOLEWA BIKRA ANGEKUWA NA HIZI AKILI?

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…