Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Mungu anasema watendee wema wazazi wawili....Na usimwabie Hata aaah...

Sasa huo ujasiri wakusimama na kuimita Mama yako mAlaya...unautoa wapi..

wanavyosema waheshimu wazazi Ina Maana hawakoseo..wanakosea Ila Kuna lugha ya kuongea na mzazi...

Mama hili Swala SI sawa...LAKINI ukikwambia WEWE NI KAHABA...ndo maana umetuzaa kila.mtoto na babayake..

Unakuwa UNAKOSEA...TENA SANA
 
Papuchi bikra haichoshi mkuu,
Hizi zilizotumika ndio zinachosha, hiyo ipo hivyo mkuu.
Wewe uke utumike na kila mtu kwa nini usichoshe?
Kama zingekuwa hazichoshi Baba na Babu zenu wasingekuwa wanazaa zaa nje maanake mama na Bibi zetu ndo walikuwa wanazitunza na kutishiwa kukosa ndoa bila hiyo kitu Ila wapi. Mateso Ni Yale yale.

Umepata bikra uliyokuwa unataka lakini bado nyuzi kibaooo Ni kama unataka kujiaminisha kuwa umepatia formula ya furaha but it is probably not as special as you thought it would be. Live and Let live.
 
I am 37 yes,sijui ulitaka kusema nini, nimeshakuambia sihitaji validation humu..usijiangaishe

ushetani ni kawaida kutotaka Validation,
Hivyo upo sawa kabisa, somo hili litaendelea kukupata mpaka utakapolamba mchanga kaburini.

Huu mwaka wa nne unajitahidi kutetea watu wako, endelea huo ndio uzalendo. Uzalendo wa kikahaba
 
Mungu anasema watendee wema wazazi wawili....Na usimwabie Hata aaah...

Sasa huo ujasiri wakusimama na kuimita Mama yako mAlaya...unautoa wapi..

wanavyosema waheshimu wazazi Ina Maana hawakoseo..wanakosea Ila Kuna lugha ya kuongea na mzazi...

Mama hili Swala SI sawa...LAKINI ukikwambia WEWE NI KAHABA...ndo maana umetuzaa kila.mtoto na babayake..

Unakuwa UNAKOSEA...TENA SANA
 
Unajua maana ya wema ewe binti usiyeelewa mambo?

Wema ni kumtendea mtu haki.

Nafikiri unaelewa maana ya haki, sio?
 
ushetani ni kawaida kutotaka Validation,
Hivyo upo sawa kabisa, somo hili litaendelea kukupata mpaka utakapolamba mchanga kaburini.

Huu mwaka wa nne unajitahidi kutetea watu wako, endelea huo ndio uzalendo. Uzalendo wa kikahaba

hahaaaa sasa unadhania utanibadilisha msimamo wangu na haya mautopolo unayoyaandika?....ni vizuri umekubali sihitaji validation, so next step save your energy huwezi kunifundisha lolote.....hata wanaume wenzako watakua wanapita wanasonya jinsi ulivyopotea kwenye reality. stupid
 
hahaaaa bikira kwani mkeo ulimkuta nayo?? najua hukumkuta nayo ila kumaintain status utasema alikuwepo nayo..hahaaa be Real,for once!

Nilishasema bila mwanamke kuwa na bikra siwezi oa, nimeoa miaka iliyopita.

Nasimamia ninachokiamini, na ndio maana nawausia vijana waachane na wapuuzi kama wewe
 
Mbona huyu dada anaumia sanaaaaa, au yupo kwa mwanaume ambaye hakumtunzia tunu mhimu,

Ndoa na tunu mhimu vinaenda sawa sawa. Kama hukukutwa nayo bc jua vinaenda parallel kamwe havitakutana ever🤐

WEWE endelea kuzama na wewe kwenye hadithi,ulimwengu unavyoenda tofauti na wewe, wewe unaenda huku,wenyewe unaenda kule
 
Mbona huyu dada anaumia sanaaaaa, au yupo kwa mwanaume ambaye hakumtunzia tunu mhimu,

Ndoa na tunu mhimu vinaenda sawa sawa. Kama hukukutwa nayo bc jua vinaenda parallel kamwe havitakutana ever🤐

Huyo anamiaka 37, unaweza imagine ni mwanamke wa aina gani, hiyo pekee inatosha kumuonea huruma. Maisha watu wanapitia mengi na wanapitiwa na mengi, lakini yeye pia kapitiwa na wengi, so hapo alipo kachanganyiikiwa.

Hivyo anahaki ya ku-act hivyo. NI Dada yetu, twende naye hivyo hivyo tuu
 
WEWE endelea kuzama na wewe kwenye hadithi,ulimwengu unavyoenda tofauti na wewe, wewe unaenda huku,wenyewe unaenda kule

Ulimwengu upo vile vile ila ninyi ndio mnauacha ulimwengu kwa kufanya mambo yasiyo ya asili mkayatumia.
Mwanao wa kiume akitaka kuolewa na mwanaume mwenzake utakubali ili aendane na dunia kwa upuuzi wako.

Mimi sikulaumu, unahaki kuwa hivyo
 
Nilishasema bila mwanamke kuwa na bikra siwezi oa, nimeoa miaka iliyopita.

Nasimamia ninachokiamini, na ndio maana nawausia vijana waachane na wapuuzi kama wewe

hahaaaaaaaaaaa eti alikua bikira thubutuuuu.....ajitunze siku zote afu aje akupe wewe kabla ya ndoa kwani wewe nani???kama alikua anajitunza asingekupa wewe mpaka ndoani, umeoa mzinifu kama ulivyo wewe! ..ulikua tayari kutest kabla ya ndoa ila unapiga kelele watu waoe bikira,zitoke wapi kama mnazini kabla ya ndoa?? again huna moral authority ya kutuambia sisi lolote .... POTEA HUKO!
 
Kwani nipo hapa kubadilisha msimamo wako wakati wewe ushapitwa na wakati, pia sio wewe unayeoa bali wewe unaolewa.

Hii mada inahusu wanaume wanaooa hivyo ungekuwa mwanaume pengine ningejisikia vibaya kwa kuwa mwanaume mpumbavu lakini wewe ujumbe huu sio wako. Kinachokufanya uhangaike hapa ni kutetea soko lako kwani unajua vijana wakinielewa nafasi yako ipo mashakani.
 
Asa wanavosema usubiri hadi ndoa unauhakika gani kama kweli n mabikra
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…