Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Ni kweli kabisa. Ila hii makitu sijui wadau wanaioteaje? Kwa maana kila unayo gusa watu wanakuwa wamefanya uzinduzi
 
Mm naendaga direct nataka hio kitu, et wanasema hivo ndo umenitongoza nasema Sina muda wakutongoza mtu ambae sio bikra Nini ambacho hujui[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],nianze kubembeleza ninahuo muda sasa[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Bikra bila damu ni sawa na kunywa maji ya kandoro .....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…