Ukweli mchungu huu,sasa umepata mchumba unaambiwa mahari sh.mil.2 au 3 halafu kabla hujatoa unamuuliza mshenga kuwa awaulize wazazi wa binti kuwa binti yao ni BIKRA...povu litakalokuja utafikiri limetoka sayari ya Jupiter
Jamii imetufikisha mahali sasa watu wanaona wako katika njia sahihi kama hajarukwa/ruka ukuta huku kwenye bikra walishaanza kutoka kama sio wameshatoka.Mbona baadhi ya jamii Bikra ni kama mchanga.
Wazazi ni chanzo cha watoto kupotea trust me
Jamii imetufikisha mahali sasa watu wanaona wako katika njia sahihi kama hajarukwa/ruka ukuta huku kwenye bikra walishaanza kutoka kama sio wameshatoka.
Nimembikira mama C wangu na nimeweka ndani,,nilinogewa na ile seal niliyoikuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeaah sure !!Kweli Mkuu Maisha uchaguzi.
Si mbaya mara moja moja kuelezea mambo ya moto kama haya
Mkuu mbona hueleweki. Tulia uandike vizuri
bikira kwa wanawake ndio ina baraka,wanaume je bikra zao hazileti baraka au kudumisha mahusiano???
waliooa wanawake bikira hajawahi kuchepuka?
Wanataka mahari nyiiiiingi halafu siyo mabikra.Ukweli mchungu huu,sasa umepata mchumba unaambiwa mahari sh.mil.2 au 3 halafu kabla hujatoa unamuuliza mshenga kuwa awaulize wazazi wa binti kuwa binti yao ni BIKRA...povu litakalokuja utafikiri limetoka sayari ya Jupiter
Ukweli ni mchungu.wale kinadada wenye maneno hapa wamepiga neutral
Wanawake walioolewa bikira katika umri mkubwa namaanisha kuanzia 24+ ni 10% ya wanaoweza kuchepuka. Lakini wale wasio nazo kuchepuka ni 90%.
Mwanaume anazaliwa na baraka tokea mwanzo mkuu au hujui hilo?
Embu fikiria habari ya Muna na marehemu mtoto wake Patrick, unadhani kama Muna angeolewa akiwa bikra na Peter ungesikia ile kesi?