Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

hapana ulikosea,huyo bikra wako ungemkalisha chini ukumfunda ni utoto tu ulikuwa unamsumbua,ungemtanduka mimba 2 mfululizo,angetulia kabisa,hakika umepoteza lulu
 
Bikra ni kichaka tu cha muhimu tabia. Kuna mdada nilimtoaga bikra na nikasema huyu ndo mwenyewe... Alivojanjaruka na kusimuliwa na marafiki zake utamu wa dudu mbalimbali alikiwasha hatari... Nikampiga chini kwavile alikuwa haambiliki

Nikampataga mwingine chuo akiwa 1st year mi nikiwa 3rd year, huyu sasa ndo alikuwa na sifa zote za kuwa mke bora! Japo sikumkuta bikra, lakini kila kitu kwny mapenz nilimfundisha mm na alikuwa humble sana. (kwa anavodai bikra alitolewaga na mjomba wake. Alivomaliza tu form 6 alienda kwa aunt yake ndo mtoto wa aunt yake akafosi mchongo)

Nilipomaliza chuo nikajichanganya kwa mdada fulani wa kitaa. Mambo yalikolea mpka yule wa chuo nikampotezea. Siku isiyo na jina nakuta mtu huyu hapa sebuleni kwangu (alikuwa anapajua nilipokuwa nakaa). Mara dada wa kitaa naye anatoka jikoni alikokuwa kuandaa msosi akiwa ndani ya khanga.

Nilimuombaga msamaha mpaka natembelea goti lakini waapi? Kaolewa mwaka juzi ila najuta kumkosa

Kikubwa ni tabia wala sio kumkuta bikra.
 
Poa "broh"! Wacha nijimwagie maji nitoe mapovu ya sabuni mwilini nikuvideo call faster.

Nikuvideo call nikiwa mtupu au nikiwa nimefunga kataulo? 😄😄
😂😂😂😂😂 achana na taulo kwanza bro we piga tu nna haraka
 
Wife yuko 36 now, ila ana K ina tight vibaya mnooo, kwakifupi she is not used ukilinganisha na hiv vi gen Z vya leo..
NB
Inawezekana labda dushe langu lubwa mnoo ndio maana naona K yake ndogo. Hiwez jua
1. Kutanuka kwa k sii kwa vile inatumika sana bali maumbile ya mtu.
2.kuna binti aweza kuwa bikra lkn akiliwa mara 2 tayari imepanuka au imelegea...ni maumbile tu.

3. Kumbuka huyo mkeo bila shaka amezaa lkn iko tight, maana yake maumbile yamejirudi.
4. Unapisema mkeo hajatumika hivi huwa humli? Hanfanyi mapenzi?
Au akiliwa na mune si matumizi?

Note: mwanamke mwenye ndoa anatumika sana tena karibu walingane na wanaojiuza...kwa wiki sio chini ya mara 4×2
 
Kwenye maumbile upo sahihi.

Ila, huwajui wanaojiuza nini mkuu? Yaani unamlinganisha mwanamke wa mume mmoja na mwanamke anayejiuza? Ushakutana na hawa wa short time watoa maagizo ya umalize haraka? Acha kabisa mkuu, mke wa mume mmoja hawezi linganishwa utumikaji wake na muuzaji hata kidogo.
 
Sijawahi kununua malaya mkuu
 
Reactions: Tsh
Mkuu umehitimisha kwa kujumuisha wanawake wote, hii si sawa.

Kuna msemo wadau wanasemaga "si kila mzee ni anabusara hata wapumbavu huwa wanazeeka" na kinyume chake pia ni sawa

Kwahiyo mkuu mambo mengine ni tabia za mtu kulingana na vinasaba na mazingira anayoishi (tamaduni, malezi, nk),

By default wanawake wote walikua bikra kama ni hivyo hawa micharuko mitaani humu kiliwakuta nini bila shaka ni mazingira(tamaduni mila na desturi).

Mi nakushauri siku nyingine ukitaka Mke bora intergrated wife materials finding technique(IWFT) 😄😄😄

Utatumia mbinu mbalimbali ila mbinu kutilia kipaumbele ni ile ya kuangalia jamii(kuna makabila yapo vizuri(kama vile Wahehe na Wabena)) ila kwakua utandawazi umekua, sikuhizi kwenye msafara wa mamba kenge nao wamo... Hapa sasa ndio kanuni yetu inakuja kutumika, (IWFT) 😁 😁.

Njia kuu ni kutumia dhamira ya dhati kupitia imani, hii njia unaweza ukapata Mke bora kutoka sehemu yoyote ile na hata sehemu usioitarajia. Yaani unaweza kuokota dodo kwenye nguzo za umeme zile za chuma(unaweza ukapata Mke bora aliyetulia kutokea kwenye madangulo wanakojiuza wanawake kule.(usigune wanawake wanaojiuza na wasiojiuza wote kwa asilimia kubwa ni sawa tu hawana tofauti, ila tofauti yao ni huyu mmoja yeye kaamua kujirasimisha (kajibradi)😂😂😂 ila kuna vishoka wanapiga show/wanaingiza mapato kushinda huyu aliesajiri biashara.

"One in a million" Kwahiyo kupitia Imani /dhamiri /nadhili inaweza kukukutanisha na wife material hata kama alikua mmoja tu katika jamii/kundi la/yenye watu million moja.
 
Wife yuko 36 now, ila ana K ina tight vibaya mnooo, kwakifupi she is not used ukilinganisha na hiv vi gen Z vya leo..
NB
Inawezekana labda dushe langu lubwa mnoo ndio maana naona K yake ndogo. Hiwez jua
Naona bango ni kubwa, wanakuja huko PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…