Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra


We ruka ruka weee,ukweli utabaki pale pale bikra na asiye bikra ni tofaut tangu na tangu ,japo sio mfuasi mzur Wa dini
1-hata kwenye bible yesu alizaliwa na bikra

2-hata kwenye Quran ,tukienda peponi utapewa wanawake kibao afu ma bikra

3-historia za jamii zote ni shahid jinsi bikra ilivyochukuliwa ,sasa unataka hao wanaume wasemewe na nani,wakat every thing its clear to see,ha ha haaa

Bikra itabaki bikra tu,kuikosa ni basi tu hamna namna,other wise ni kujifariji tu


We leta logical/critical thinking uzuri hisia haziend kwa logic ,period
 
Sasa naoa mimi au anaoa mtu

Mimi ndo ntakaeishi naye huyo mwanamke, kifupi kuoa mwanamke used hakunipi Amani ya Moyo (inanipa kinyaa flani )

Sasa nioe sifa Nzur afu sina feelings hapo vipi mzee
Haya mkuu ni jambo jema sanaa...! Me ubikra sio sifaa ya muhimu kwanguu... Anyway tumetofautianaa maana mwingne atataka anaetoa tigo kabisaa ili waendee sawa..
 

Nitarudi baadae ngoja nifanye majukumu yakifamilia. Umetumia jicho lipi kuona mimi naruka ruka na wewe huruki ruki?

Nikirudi ujitahidi kueleza maana ya ukweli. Labda tutapata ground ya mjadala huu.
 
siwezi badilisha ukweli kuwa uwongo...kusingali kuwa na viwanda vya pombe au watengeneza pombe za kienyeji pasingalikuwepo walevi....kwani mwili huo si wako si unauwezo wa kusema hapana na ukasimama kwenye huo msimamo unadhani angelazimisha....kwa anaebakwa kweli wamemuharibia bikira yake...umeombwa umetoa amepokea kwa kuwa alimuomba karuhusu mwenyewe kuachia....kungalikuwako na msimamo kwenu basi hata mwanaume angekuwa hivohivo si anakaziwa...kila akiomba
 
Haaaahaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji382] [emoji382] [emoji382]
 
Hatukatai ana mtazamo wake lakini aanze na kujitathmini yeye mwenyewe aitake bikra sasa hivi yeye ameshatembea na watu wangapi hadi sasana wote hajawakuta na bikra anafikiri hao wanawake hawakuwa na bikra? yeye amtafute mwenuye bikra amtoe then wataendelea kummegea kama kawaida asione kumpata mwanamke bikra ndio kamaliza au ajue eti hatokuwa na changamoto anajidanganyaaaaa
 
kwani kuna uhusiano kati ya kulea na kipigo?? kila ki2 hutokea kwa sababu ata uzinzi na umalaya unasababu zake kubwa ikiwa malezi..
unatudanganya na wewe bwana uzinzi na umalaya ni malezi hama hulka ya mtu? kwa wazazi ndio wanakufundisha hama? walezi watakukanya kazi kwako kuvifuatilia hama kuvipuuza
 
unatudanganya na wewe bwana uzinzi na umalaya ni malezi hama hulka ya mtu? kwa wazazi ndio wanakufundisha hama? walezi watakukanya kazi kwako kuvifuatilia hama kuvipuuza
Inshu ya malezi is pychological... mtu hazaliwi na hulka, in the matter of fact u are who u are today kwa sababu ya experiences ulizopata huko nyuma..[emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Povu kama lotee
 
Shida Ni pale tutakapojitunza halafu tunaolewa mwanaume anakuja kukusaliti.na ile misemo mwanaume haridhiki na mwanamke mmoja inadiscourage sana
 
Hakuna mke wa mtu kuchepuka kama aliye olewa na Bikra
Sahihi kabisa mimi nimeshakutana nao wengi tu wanataka kujua ladha nyingine ikoje waone tofauti iko wap binafs sihitaji bikra atanisumbua mpaka aje kutulia
 
Shida Ni pale tutakapojitunza halafu tunaolewa mwanaume anakuja kukusaliti.na ile misemo mwanaume haridhiki na mwanamke mmoja inadiscourage sana


Upo sahihi sana Mkuu. Ila ishi kwa kumuangalia Mungu anasemaje na si matokeo ya maamuzi ya mwanadamu/mwanaume
 
Nahisi hii mada imekulenga moja kwa moja, pole utampata wa kufanana nawe.
 
Kwa iyo hata bongo movie huwezi jua ni used au sio used?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…