Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Hao mabikira enzi zetu wanapanda wapi? Kwa Mswati wana incentive ya labda siku moja wataolewa na king. Kama darasa la tano tu bikes ni za kuhesabu, mpaka kufikia muda wa kuolewa? Times is changed
 
Hivi unajua kati ya kuhani na Mfalme nani mwenye heshima kwa Mungu?
So kwa vile muda time changed ndio watu wavunje baadhi ya kanuni za msingi ikiwemo za makuhani. Hivyo unataka kusema ni sawa kwa kigezo cha muda?
 
Mungu Ni Mwema Wakati Wote
Funga Fungua
Mwaka
Thread Hii Imeanza Kutema Cheche
 
Aisee sikua najua kabisa kama kuna kitu kama hiki. Ngoja wake wajuzi wadadafue
 
Mada ya kipuuuzi kbsa

Huwezi elewa ila kama unaakili nzuri huwezi iona mada hii ni ya kipuuzi. Unadhani aya hizo alizozisema zikaandikwa alikurupuka. Ikiwa Kuhani atakiuka kanuni hizo unadhani hao anaowaongoza watakuaje?
 
Pengine ni mjinga, najisi hutoka ndani ya mtu.

Unajua tofauti ya sheria na mafundisho? Embu nipe sheria inayozungumzia jambo lako. Unachokisema ni fundisho la Yesu kuhusu unajisi. Na sio sheria.
 
Biblia pana sana na ukiwa na akili km zako unasoma juu juu ndo matokeo yke unakuja na vimada vya kipuuzi km hiki. Yaani mambo ya walawi ndo yamekufanya uje na wazo hilo. Nisawa na mambo ya watanzia upeleke ghana uanze kuwasemea upuuzi
Huwezi elewa ila kama unaakili nzuri huwezi iona mada hii ni ya kipuuzi. Unadhani aya hizo alizozisema zikaandikwa alikurupuka. Ikiwa Kuhani atakiuka kanuni hizo unadhani hao anaowaongoza watakuaje?
 
Kama wao ni Wafuasi wa Yesu, kwa nini hawafuati mfano wa yeye alivyoishi?
Unajua tofauti ya sheria na mafundisho? Embu nipe sheria inayozungumzia jambo lako. Unachokisema ni fundisho la Yesu kuhusu unajisi. Na sio sheria.
 
Biblia pana sana na ukiwa na akili km zako unasoma juu juu ndo matokeo yke unakuja na vimada vya kipuuzi km hiki. Yaani mambo ya walawi ndo yamekufanya uje na wazo hilo. Nisawa na mambo ya watanzia upeleke ghana uanze kuwasemea upuuzi

Mkuu unaelimu ya dini au umepotea njia? Embu eleza kwa ufupi sana Walawi ni watu gani achilia ishu ya wao kama moja ya kabila ya waisrael?

Alafu uje uniambie kuwa Ezekiel naye alikuwa anawaambia wakinani? Kila la kheri katika kujibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…