Unanikumbusha shemeji yangu mdogo alioa bikra basi akatangazia kila mtu alichokuja mfanya huyo mwanamke familia mpk leo imebaki na kidonda. Shemeji yangu ali divorce huyo bikra kaamua kuoa mjane mwenye mtoto mmoja so far wako vizuri ni Mwaka wao wa 12 wa ndoa. Ilankwa bikra walikaa miaka mitano. Siku zote huwa nawaambia vijana wangu usisikie story za vijiweni na tabia za wanawakr huwa hazina formula. Mwanamke ni kiumbe dhaifu sana anaweza danganyika na kitu kidogo sana mpk Shida ya vijana wetu wamekaririshwa uongo mwingi sana.