Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,670
Mbona hata wewe unajifariji ndugu kazi ya k nikutumika kwa Sana hzo bikra mbwembwe tu, mwanangu mwenyewe kuliko asi enjoy life eti anamtunzia wa kumuoa too me ni madness, I believe peoples beauty in their heart na sio hyo bikraKutafuta taste ni tabia za mwanamke malaya, Mimi ninasema jambo nililolifanyia utafiti, wewe unaongea kujifariji humu.
Bikra zote Mkuu
Hapo uko safe atleast jitahidi kuepuka migogoro tu
Hahahah sawa blooMkuu, naweza onekana labda nawasema vibaya watu fulani, lakini huo ndio ukweli. Ukitaka usalama kwa asilimia 90 ndani ya ndoa oa mwanamke bikra. Kwa maslahi yako na watoto.
Kuna tofauti kubwa baina ya mwanamke aliyeolewa na bikra akizaa mtoto wa kike na tabia za mtoto wake katika malezi.
Lakini mwanamke malaya huzaa vitoto malaya, utahangaika sana kupigishana kelele na mama yao, vitoto vikikua na kutoa chuchu unaanza navyo kuhangaika navyo, watoto wa kike hurithi tabia za mama zao.
Huniamini acha, sio lazima.
Mbona hata wewe unajifariji ndugu kazi ya k nikutumika kwa Sana hzo bikra mbwembwe tu, mwanangu mwenyewe kuliko asi enjoy life eti anamtunzia wa kumuoa too me ni madness, I believe peoples beauty in their heart na sio hyo bikra
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haya mkuu...!! Sema haya mambo haya formula unakuta bikra kama hajielewi anapata marafiki wa ovyoo wanamjaza upepo aonjee kitu mpyaaa
ukweli mchungu ila tutafanyeje sasa, acha maisha yaendelee.
πππmkuu umeua aisee.Kila mtu achague akitakacho, ila ukitaka kufa mapema oa mwanamke mwenye mtazamo kama Cariha ambao malaya wengi wanao. Anakuambia kazi ya K ni kusuguliwa, amesahau kuwa inapaswa isuguliwe na mtu mmoja.
Okay wazee wa bikra!
Ila Mimi ninachoamini 'used' au 'mtumba' ndiyo kinadumu.
Hata elimu zenu hazijawasaidia hata kung'amua mambo haya kwa kina, mmesoma kukariri, mwanamke kutoka nje ya mahusiano either ya uchumba au ndoa hio ni tabia yake ambayo ina mizizi pengine katika ukoo au kifamilia, hivyo ni lazima kuvunja hio curse, kuna mambo mengi kiroho hua yanafanyika watu hamjui ila sababu mpo mpo tu kama mizigo mnakaririshwa na wataalam wa mahusiano mnaona kua ni sawa tu mnaona kama procedure fulani ya maisha mnawaza tu hapa hapa hamfikirii beyondTumuache kwanza, naona ulanzi wa mahaba umemkaa pazuri. Cha kumsihi tu ahakikishe hamuachi mkewe popote aendapo kikazi esp. uhamisho wa kimkoa [emoji23][emoji23][emoji23]
endelea kumjaza upepo tu mwamba bt kuna siku atalia kama samaki machozi yake yaende na majiHahahah sawa bloo
K ni K
Mkuu nenda Zanzibar utawapata wengi wanazo bikra za mbele yaani mbele hakujaguswa kabisa.!Mkuu nampatajepataje huyu bikra..???
πππmimi uzi sijamalizia kusoma, sabab kadiri nnavyoendelea nilikuwa kwenye hatua ya ustawi wa jamii...nikaachana nao.Soma comment yake hapo juu ujionee. Mwanamke malaya ni zaidi ya mbwa