Maana ya neno hallelujah Diamond Platnumz amekosea kulitumia?

Maana ya neno hallelujah Diamond Platnumz amekosea kulitumia?

Kwanza mkuu unatakiwa utambue kwamba kila kitu kina sababu,
kwahiyo unaposema Mungu apewe sifa unatakiwa ujiulize "apewe sifa kwaajili gani?"
anhaa maybe kwa kukuzawadia kitu flani,

okay hata kwa diamond, unatakiwa ujiulize amesema Mungu apewe sifa kwaajili gani? ndipo jibu linakuja
'Apewe kwaajili ya kumpatia zawadi ya Mwanamke mzuri ambaye ndiye anayemsifia ndani ya huo wimbo!...'

Vilevile unatakiwa ukumbuke kwamba Mapenzi sio dhambi, na kumshukuru Mungu na kumtukuza kwa zawadi aliyokupatia pia sio dhambi.
Usipomkumbuka Mungu kwa vitu vidogo basi hata kwa vikubwa hautomshukuru..

HALELLUJAH......
Amen.
 
Babu weeee Kuna nyimbo nyingi tuu duniani kote kwa ujumla yanatumika majina ya utukufu ya mungu na contents ya hizo nyimbo ni mapenzi tuu kwa hiyo hili sio la kushangaza hapa.

Kuna wengine humu humu wapenzi wao wanawaita ANGEL sio, malaika pia ni viumbe vya utukufu kwa walio na imani.

Kuna mchezaji mpira manCity anaitwa Jesus Hana hata maadili mkuu muhuni wa kutupwa sijui Kama havuti bangi yule.

Bob Marley, luck dude, Morgan heritage, Sade adu, Drake ana nyimbo inaitwa "6 GOD" hata hawa wataarabu hawa si wanasemaga mule Allhamdulilah au Mashaallah haya pia ni maneno ya kitukufu kwa hiyo sio big deal hapa.

Pata tuu burudani mkuu.
Kuna jamaa nilikutana nae huko nchi za watu anaitwa AMEN, mwanzo alivyonitajia jina lake nilifikiri ana nitania lakini nilikuja gundua kuwa ni kweli aliponialika kwenye wedding yake, Kadi ya mwaliko ilikuwa na jina lake Amen.
 
ac79e673900816a880b7419ebedbf26b.jpg


Zawadi B. Lupelo

Wanajamvi salamu kwanza!

Nimeusikiliza wimbo mpya wa Diamond Platnumz kwa makini sana. Kitu kilichonitatiza na kuja kunishughulisha hapa jamvini ni neno hallelujah na namna lilivyotumika ni maoni yangu kwamba limetumika kimakosa katika wimbo huo ambao ni wa mapenzi hasa ukizingatia maana ya msingi ya neno ambapo huwa linatumika kwenye ibada katika kumsifu Mungu ni neno linalomaanisha "Mungu apewe sifa".

Ni neno ambalo linaenda sambamba na maneno Bwana asifiwe, tumsifu Yesu Kristo na kadhalika huko makanisani kufikia hatua ya kulitumia hili neno kwenye wimbo wa mapenzi katika muktadha wa Diamond Platnumz ni kufeli kwake katika uteuzi wa maneno.

Haiwezekani umezungukwa na mademu wapo nusu uchi unaimba Hallelujah huku ni kuitweza imani na utukufu wa Mungu.

Ni matumaini yangu wakati mwingine atakuwa makini kwenye kuchagua maneno ya kutumia ili kuhakikisha haleti mkanganyiko wowote.

I rest my case.

Zawadi B. Lupelo.
Mi nimetazama kwa jito tofauti kidogo...

NIMEONA KAMA ANASIFIA KAZI YA MIKONO YA MUNGU KWA HAO VIUMBE.... nikinukuu ulivyolitumia wewe.."Mungu apewe sifa"... NAAMINI ANASEMA APEWE SIFA KWA KAZI YAKE ILIVYOTULIA...

Ngali K
 
Kweli kabisa hilo neno haleluya ni kwa kwa ajili ya kumsifu Mungu muumba wetu. Sasa haipendezi mademu wapo nusu uchi et haleluya kweli haipendezi bora angetumia neno lingine sio haleluya so sad!
mbona hao nusu uchi hadi kwenye baadhi ya nyumba za ibada wapo
 
Hoja hapa kaka ni maana ya msingi ya neno na muktadha, tuliosoma matumizi ya lugha tunajua kitu kinaitwa muktadha huwezi kuchukua neno la kanisani ukalipeleka baa. Muktadha na uchaguzi wa maneno ni kitu muhimu kwa msanii kuna maneno mengi sana yangefaa hapo
Ila yapo maneno yanafit kila mahala, inategemea tu unayatumiaje..
 
!
!
Neno lenye maana sawa na hilo kwenye dini yake halipo? Kwa nini asitumie maneno yanaopatikana kwenye dini yake? Kwa nini haikuwa Allah Huakbar
Dini hazimiliki maneno... LUGHA.. say Kiarabu, Kiswahili, Kiingereza, Kimanda, ect... Na ndo maana mtu akitamka neno fulani, unaweza ukasema ni kiingereza, au Kizaramo....

Dini zinatumia lugha fulani..
 
niambie mkaka mtamu!kwan zari sio mzuri jaman
"Remember When"

Remember when I was young and so were you
and time stood still and love was all we knew
You were the first, so was I
We made love and then you cried
Remember when

Remember when we vowed the vows
and walked the walk
Gave our hearts, made the start, it was hard
We lived and learned, life threw curves
There was joy, there was hurt
Remember when

Remember when old ones died and new were born
And life was changed, disassembled, rearranged
We came together, fell apart
And broke each other's hearts
Remember when

Remember when the sound of little feet
was the music
We danced to week to week
Brought back the love, we found trust
Vowed we'd never give it up
Remember when

Remember when thirty seemed so old
Now lookn' back it's just a steppin' stone
To where we are,
Where we've been
Said we'd do it all again
Remember when
Remember when we said when we turned gray
When the children grow up and move away
We won't be sad, we'll be glad
For all the life we've had
And we'll remember when
 
"Remember When"

Remember when I was young and so were you
and time stood still and love was all we knew
You were the first, so was I
We made love and then you cried
Remember when

Remember when we vowed the vows
and walked the walk
Gave our hearts, made the start, it was hard
We lived and learned, life threw curves
There was joy, there was hurt
Remember when

Remember when old ones died and new were born
And life was changed, disassembled, rearranged
We came together, fell apart
And broke each other's hearts
Remember when

Remember when the sound of little feet
was the music
We danced to week to week
Brought back the love, we found trust
Vowed we'd never give it up
Remember when

Remember when thirty seemed so old
Now lookn' back it's just a steppin' stone
To where we are,
Where we've been
Said we'd do it all again
Remember when
Remember when we said when we turned gray
When the children grow up and move away
We won't be sad, we'll be glad
For all the life we've had
And we'll remember when


am smilling Elli
 
Back
Top Bottom