Kama umejitahidi kuwa msomaji mzuri wa Biblia (sio msikilizaji mzuri wa mchungaji); kitu hiki kisingekusumbua.
Uki-summarize message kubwa ya Yesu Kristo katika vitabu vyote vya injili, utaona msisitizo wake katika utoaji hukumu. Reference: watu alioketi nao, na aliowachagua.
Message hiyo, inapotezewa, wakati ni msingi mkubwa wa matendo yote aliyokuwa akiyafanya wakati wa kazi yake.
Kwa lugha nyepesi, kwa sentesi moja, Yesu ali-address kitu hiki: Usihukumu. Haya mambo hayakuhusu ya wewe kutoa hukumu. Tangaza jina la Bwana. Okoa nafsi yako, kwa maana siku inakuja ambayo kila mmoja atasimama peke mbele ya Baba.
So, achana na ya watu, wakati una mti katika mboni ya macho yako.