Maana ya neno hallelujah Diamond Platnumz amekosea kulitumia?

Maana ya neno hallelujah Diamond Platnumz amekosea kulitumia?

Wafanye miziki yao vyovyote watakavyo

Kufur na dharau kwenye dini waache wala sisi haituhusu.... Asituharibie imani zetu na kutuchokoza
 
Halelujah ni wimbo namba moja unaomtukuza Mungu. Unaipoimbwa unaimbwa kwa heshima ya hali ya juu.
Dah uhuru bila mipaka ni fujo.
 
Wakristo sisi wapole sana! We jaribu hata kupita na kitoto cha nguruwe maeneo yao[emoji3]


Hee watakumaliza na laiti angetumia maneno yao kwa kufur hii saa hii angekuwa bombo au muhimbili anaugulia maumivu

Vyovyote iwavyo akome kabisaa.... Asituharibie maneno yetu ya utukufu....afanye kazi yake bila kudhalilisha ukritu.
 
Halelujah ni wimbo namba moja unaomtukuza Mungu. Unaipoimbwa unaimbwa kwa heshima ya hali ya juu.
Dah uhuru bila mipaka ni fujo.
Leo nimeamini hizi dini tunazifuata kwa mapokeo tu, hatujui vitu vingi! hallelujah ni wimbo smh
Nenda msikitini ukaseme hiko neno japo mara tatu utuletee mrejesho wa maana yake.
 
Ila hakuna tatizo maana haijawekwa waz kwamba haleluya ni neno la kumsifu kwa jambo la Yesu kufufuka tu. Hata kwa uumbaji si anasifiwa pia.
 
Huyu dogo aendelee kuneng'eneka ila asije akapotea njia akaingiza maneno ya upande huu mwingine wa dini ktk upuuzi wake maana atachezea mbaya. Chochote kilichochake kitawashwa moto aanze upya ohooo.
 
hal·le·lu·jah

ˌhaləˈlo͞oyə/

exclamation

1.

God be praised (uttered in worship or as an expression of rejoicing).

"He is risen! Alleluia!"

noun

1.

an utterance of the word “hallelujah” as an expression of worship or rejoicing.
 
Ifike mahala kila mmoja wetu aheshim dini ya mwingine upumbavu wa ku-cross mstari unaacha dini yako unafanyia mzaha dini za wengine nikukosa hekima,
kukosa adabu na
kudhalilisha imani ya wenzako.

Kwanini kaamua kuparamia dini isiyomhusu?
Take it as a word not for its meaning from a person who has no faith..."sio kila atakayeniita bwana bwana ni wangu"
 
Leo nimeamini hizi dini tunazifuata kwa mapokeo tu, hatujui vitu vingi! hallelujah ni wimbo smh

Jina hilo kama ni neno alikosa neno tofauti na hilo?

Mbona hakutumia neno linaloendana/similar na la dini yake?
 
Nilishasema na ninarudia kusema, "Diamond anafanya kazi ya kupeleka watu kuzimu"

Huyu kadogoo kalewa sifa, anaona ni heri amtukane Mungu kuliko kumkataa shetani, atavuna!

Na nyie mnaomshabikia Diamond acheni kujifanya hamuelewi vile anaharibu jamii!
 
Jamii na watoto wetu wataheshimu vipi mipaka na utukufu wa maneno tuyatumiayo endapo akina diamondi wanayafanyia mzahaha?
Huwezi kucontrol hicho kitu mkuu maana hata devil worshipers wanatumia misalaba na alama nyingine za kidini, ni wewe tu kutambua kipi halali na kipi si halali. Ukitambua hilo haitakusumbua..
 
Take it as a word not for its meaning from a person who has no faith..."sio kila atakayeniita bwana bwana ni wangu"

How does this affects the society expecially our kids? Will they believe and bear respect if other fools plays the same scenario in miserable way?

Are we serious with whatever we repect and glorify?
 
Back
Top Bottom