Maana ya neno hallelujah Diamond Platnumz amekosea kulitumia?

ac79e673900816a880b7419ebedbf26b.jpg

Zawadi B. Lupelo

Wanajamvi salamu kwanza!

Nimeusikiliza wimbo mpya wa Diamond Platnumz kwa makini sana. Kitu kilichonitatiza na kuja kunishughulisha hapa jamvini ni neno hallelujah na namna lilivyotumika ni maoni yangu kwamba limetumika kimakosa katika wimbo huo ambao ni wa mapenzi hasa ukizingatia maana ya msingi ya neno ambapo huwa linatumika kwenye ibada katika kumsifu Mungu ni neno linalomaanisha "Mungu apewe sifa".

Ni neno ambalo linaenda sambamba na maneno Bwana asifiwe, tumsifu Yesu Kristo na kadhalika huko makanisani kufikia hatua ya kulitumia hili neno kwenye wimbo wa mapenzi katika muktadha wa Diamond Platnumz ni kufeli kwake katika uteuzi wa maneno.

Haiwezekani umezungukwa na mademu wapo nusu uchi unaimba Hallelujah huku ni kuitweza imani na utukufu wa Mungu.

Ni matumaini yangu wakati mwingine atakuwa makini kwenye kuchagua maneno ya kutumia ili kuhakikisha haleti mkanganyiko wowote.

I rest my case.

Zawadi B. Lupelo.
Tatizo umalaya wanaupenda ila hawawezi kuuuacha.
Kumsifu Mungu kwa nyimbo za injili wanatamani ila muda hawana. Wanatamani watu wote wawe wafuasi wao lakini inagoma.
Neno hallelujah ni neno lenye maana ya kushukuru kiroho baada ya kubarikiwa na jambo lolote lenye nasaha za kiroho.
Yaweza kuwa nyimbo za injili, kuabudu, kusifu au mahubiri.
Sasa nyimbo za diamond na hilo neno wapi na wapi.
 
Mbona wachungaji wenu.kila leo wanasema Halelujah na bado wanafanya uzinzi na waumini wao?
Mbona Ngwajima kila leo husema Halelujah huku alizaa nje ya ndoa na Madam Frola?
 
Tatizo umalaya wanaupenda ila hawawezi kuuuacha.
Kumsifu Mungu kwa nyimbo za injili wanatamani ila muda hawana. Wanatamani watu wote wawe wafuasi wao lakini inagoma.
Neno hallelujah ni neno lenye maana ya kushukuru kiroho baada ya kubarikiwa na jambo lolote lenye nasaha za kiroho.
Yaweza kuwa nyimbo za injili, kuabudu, kusifu au mahubiri.
Sasa nyimbo za diamond na hilo neno wapi na wapi.
Kwani yeye diamond kuwa na watoto na uhai alio nao.havitoshi kusema halelujah? Acheni unafiki....watu huwa mnaenda makanisani kutongozana na bado mnaimba Halelujah....Mungu ni wawatu wote....
 
ac79e673900816a880b7419ebedbf26b.jpg

Zawadi B. Lupelo

Wanajamvi salamu kwanza!

Nimeusikiliza wimbo mpya wa Diamond Platnumz kwa makini sana. Kitu kilichonitatiza na kuja kunishughulisha hapa jamvini ni neno hallelujah na namna lilivyotumika ni maoni yangu kwamba limetumika kimakosa katika wimbo huo ambao ni wa mapenzi hasa ukizingatia maana ya msingi ya neno ambapo huwa linatumika kwenye ibada katika kumsifu Mungu ni neno linalomaanisha "Mungu apewe sifa".

Ni neno ambalo linaenda sambamba na maneno Bwana asifiwe, tumsifu Yesu Kristo na kadhalika huko makanisani kufikia hatua ya kulitumia hili neno kwenye wimbo wa mapenzi katika muktadha wa Diamond Platnumz ni kufeli kwake katika uteuzi wa maneno.

Haiwezekani umezungukwa na mademu wapo nusu uchi unaimba Hallelujah huku ni kuitweza imani na utukufu wa Mungu.

Ni matumaini yangu wakati mwingine atakuwa makini kwenye kuchagua maneno ya kutumia ili kuhakikisha haleti mkanganyiko wowote.

I rest my case.

Zawadi B. Lupelo.
Nenda kalitumie kanisani kwa vile unamahusiano na kanisa na wasio na mahusiano na kanisa wataburudikanalo ktk hii Nondo.

Shikamoo Diamond.
 
ac79e673900816a880b7419ebedbf26b.jpg

Zawadi B. Lupelo

Wanajamvi salamu kwanza!

Nimeusikiliza wimbo mpya wa Diamond Platnumz kwa makini sana. Kitu kilichonitatiza na kuja kunishughulisha hapa jamvini ni neno hallelujah na namna lilivyotumika ni maoni yangu kwamba limetumika kimakosa katika wimbo huo ambao ni wa mapenzi hasa ukizingatia maana ya msingi ya neno ambapo huwa linatumika kwenye ibada katika kumsifu Mungu ni neno linalomaanisha "Mungu apewe sifa".

Ni neno ambalo linaenda sambamba na maneno Bwana asifiwe, tumsifu Yesu Kristo na kadhalika huko makanisani kufikia hatua ya kulitumia hili neno kwenye wimbo wa mapenzi katika muktadha wa Diamond Platnumz ni kufeli kwake katika uteuzi wa maneno.

Haiwezekani umezungukwa na mademu wapo nusu uchi unaimba Hallelujah huku ni kuitweza imani na utukufu wa Mungu.

Ni matumaini yangu wakati mwingine atakuwa makini kwenye kuchagua maneno ya kutumia ili kuhakikisha haleti mkanganyiko wowote.

I rest my case.

Zawadi B. Lupelo.
Weka neno lako ili liendane na wimbo
 
Kwa mkristo yeyote duniani ameelewa ulichokielezea ndio hivyo Mungu na kazi yake na shetani yupo kazini pia
Sasa humo humo ndani ya song anasema ulimi unateleza kama nyoka (*****) humo humo tena Halelujah
 
Kuna watu walikuwa hawajausikiliza ila ulipoandika hapa wamekwenda kuchek so viewers wanaongezeka asante kwa jitihada zako
 
Hakuna kosa hapo as long as god ameumba hao wanawake..kumbuka hakuwaumba wanawake wakiwa na nguo. Someni muelewe sio kukalili maandiko.
 
Shida ya CCM wanamsikiliza M/kiti wao badala ya kumshauri.
Anashaurika? Kasema mtu akimwambia kitu cha kitu cha kufanya ndio amepoteza kabisa (tamka kama msukuma hapo)
Kwa mkristo yeyote duniani ameelewa ulichokielezea ndio hivyo Mungu na kazi yake na shetani yupo kazini pia
Ni kweli, shenanigans yupo kazini na anawatumia binadamu Anna this time ni Hutu bwana. Wakristo ni Wapole sana. Kwenye Dini yake kama angetumia neno Kuu kama kama hill ambalo limeandikwa kwenye kitabu kitakatifu kuenzi ukuu wa Sio Mungu tu bali hata Mtune, tungesikia reaction kubwa sana hata kumtishia uwepo wake. Lakini kwa kuwa Brno hilo linatumika zaidi upande usiosema sana, viongozi wa imani yake Sio ajabu watanyamaza walio wengi sana.

Any way, Mungu anajua jinsi ya kumshughulikia maana najua anajua anachokifanya. Kama hajui mtu fulani atatumika kumfahamisha kosa hilo, tena kwa upole sana.
 
Kuna mtu alisema "MBINGUNI ATABAKI YESU TU NA MUNGU NA MALAIKA WAKE"
Maana binadamu sioni hata kama wana mzuka wa kwenda huko kwa matendo yao
 
Anashaurika? Kasema mtu akimwambia kitu cha kitu cha kufanya ndio amepoteza kabisa (tamka kama msukuma hapo)

Ni kweli, shenanigans yupo kazini na anawatumia binadamu Anna this time ni Hutu bwana. Wakristo ni Wapole sana. Kwenye Dini yake kama angetumia neno Kuu kama kama hill ambalo limeandikwa kwenye kitabu kitakatifu kuenzi ukuu wa Sio Mungu tu bali hata Mtune, tungesikia reaction kubwa sana hata kumtishia uwepo wake. Lakini kwa kuwa Brno hilo linatumika zaidi upande usiosema sana, viongozi wa imani yake Sio ajabu watanyamaza walio wengi sana.

Any way, Mungu anajua jinsi ya kumshughulikia maana najua anajua anachokifanya. Kama hajui mtu fulani atatumika kumfahamisha kosa hilo, tena kwa upole sana.
Ngumu kumesa
 
Kwani yeye diamond kuwa na watoto na uhai alio nao.havitoshi kusema halelujah? Acheni unafiki....watu huwa mnaenda makanisani kutongozana na bado mnaimba Halelujah....Mungu ni wawatu wote....
Kwanza elewa kuwa baadhi ya maneno ya umiliki na kundi fulani. Mf. Mwislamu hawezi kumwambia muumini mwenzake hallelujah bali kuna neno jingine mbadala wa hilo.
Mahaba yenu kwa diamond si kigezo cha kunajisi maneno ya kiroho kwani alishakatazwa kusema alhamdulah au inshallah hadi aone hallelujah ndiyo sahihi kuliko hayo mengine. Hajakatazwa kutumia bali location ya neno na mahali lilipo ndiyo shida.
Mf. Nyoka aliyemudanganya eva ktk biblia anaitwa serpant sasa huwezi kumuita snake huku ukiongelea mambo ya kiroho likewise huwezi kumuita serpant huku ukiongelea ya mwili.
Elewa kwanza.
 
Halellujah ni neno la kumtukuza mwenyezi MUNGU. Sasa huo wimbo unamtukuzaje MUNGU namna vile? Wimbo unachezwa kingono ngono tu, na mivitu ya ajabu ajabu. May be muhusika ana mungu wake anaye mtukuza, ila kama ni huyu aliyetuumba, hapana aisee.
Mkristo kaa mbali na Shetani.
 
Back
Top Bottom