Sijaona tatizo
Nimeichukulia kwamba wasio na imani wanaoweza kutumia maneno ambayo kwa wenye imani yanamaana. Nakiri sikufikiria athari kwa watoto wa wenye Imani.How does this affects the society expecially our kids? Will they believe and bear respect if other fools plays the same scenario in miserable way?
Are we serious with whatever we repect and glorify?
Kama umejitahidi kuwa msomaji mzuri wa Biblia (sio msikilizaji mzuri wa mchungaji); kitu hiki kisingekusumbua.
Uki-summarize message kubwa ya Yesu Kristo katika vitabu vyote vya injili, utaona msisitizo wake katika utoaji hukumu. Reference: watu alioketi nao, na aliowachagua.
Message hiyo, inapotezewa, wakati ni msingi mkubwa wa matendo yote aliyokuwa akiyafanya wakati wa kazi yake.
Kwa lugha nyepesi, kwa sentesi moja, Yesu ali-address kitu hiki: Usihukumu. Haya mambo hayakuhusu ya wewe kutoa hukumu. Tangaza jina la Bwana. Okoa nafsi yako, kwa maana siku inakuja ambayo kila mmoja atasimama peke mbele ya Baba.
So, achana na ya watu, wakati una mti katika mboni ya macho yako.
Hilo ni neno la kihebrenia lenye maana ya Mungu atukuzwe! Kwa hiyo muhebrew yeyote awe mpagani, muislamu, mkristo, nk akitaka kusema Mungu atukuzwe atasema hilo neno, nilichoona wabongo wengi tunaabudu hizi dini 2 mbili bila kuzielewaJina hilo kama ni neno alikosa neno tofauti na hilo?
Mbona hakutumia neno linaloendana/similar na la dini yake?
[emoji87]
Ifike mahala kila mmoja wetu aheshim dini ya mwingine upumbavu wa ku-cross mstari unaacha dini yako unafanyia mzaha dini za wengine nikukosa hekima,
kukosa adabu na
kudhalilisha imani ya wenzako.
Kwanini kaamua kuparamia dini isiyomhusu?
Acha ujuha wewe mbona busta rymes aliimba arab money na hakuna mtu aliyepiga kelele maana upuuzi wake watu waliupuuza? Sasa iweje ww utoe povu?
Hilo ni neno la kihebrenia lenye maana ya Mungu atukuzwe! Kwa hiyo muhebrew yeyote awe mpagani, muislamu, mkristo, nk akitaka kusema Mungu atukuzwe atasema hilo neno, nilichoona wabongo wengi tunaabudu hizi dini 2 mbili bila kuzielewa
Hujuwi unalonena
Mwambie mbwa wako arudi kwenye muziki wake hakuna atakaemuuliza wala kuhoji
Na asingie kabisa kwenye imani zetu au la ajishughulishe na tungo zinazohusu dini yake si vinginevo.
Kwenda wewe ni wapi palipoandikwa kuwa ukristo ni dini?
Kaanzishe hiyo mada uniite
Hapa ujumbe mwambie mbwa wako ajishughulishe na dini yake. Akishindwa arudishe majembe kwenye asili ya tungo zake.
Ndio dini hiyo inakuruhusu kuita binadam mwenzio mbwa, alafu nyie wagalitia si mnasemaga vita yenu ni ya kiroho vp safar hii mgalatia unatoa povu? Wewe huna dini wala nini kama unayo itaje
Kama hujuwi Yesu alimwita....mbweha nakuhurumia kwasababu hujuwi
Sasa kama mtu amepewa mwanamke mzuri na anaempenda, kuna kosa akitoa utukufu kwa bwana?Maana yake "Sifa na utukufu ni kwa Bwana"
Sasa kama mtu amepewa mwanamke mzuri na anaempenda, kuna kosa akitoa utukufu kwa bwana?
Kwani wewe ni yesu?