NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
nilienda ttcl kuwaomba wanifungie internet ya kwenye zile nyaya za simu ili nipunguze gharama za hivi vifurushi ghali, kuna dogo namjua tangu 2020 yeye anatumia hii huduma hajawahi kuwa na habari na hivi vifurushi ambavyo sisi tunalalamika.
fundi aliniambia eneo langu huduma ipo ila vifaa kama router vimeisha inabidi nisubiri mwezi ujao, ila aliniambia nikiweza kupata vifaa atakuja kuniwekea ..
nimepanga niagize router kutoka nje, huwa naagiza mizigo yangu kupitia ali express na ebay na nimeona hivi vifaa, je vitafaa ??