Maandalizi ya kufungiwa adsl internet elf 25 kwa mwezi bila kikomo, niagize router kutoka nje ?

Maandalizi ya kufungiwa adsl internet elf 25 kwa mwezi bila kikomo, niagize router kutoka nje ?

Wangefanya basi utaratibu wa hiyo fiber iwe covered sehemu zote kwa hiyo miji mikubwa. Ni ulofa kwa dar sehemu nyingine fiber isipatikane. Hii miji midogo wanafaidi kuliko town
Tusubiri ule mkopo wa China mkataa mmoja ni wa TEHAMA kama hawatabadilisha matumizi kununua Vieti mpya maana za zamani wamezichoka!!
 
Back
Top Bottom