''Ila aliniambia nikiweza kupata vifaa atakuja kuniwekea''...nakushauri umtumie yeye na kumuuliza kama hivyo ulivyoviona vinafaa ama la?nilienda ttcl kuwaomba wanifungie internet ya kwenye zile nyaya za simu ili nipunguze gharama za hivi vifurushi ghali, kuna dogo namjua tangu 2020 yeye anatumia hii huduma hajawahi kuwa na habari na hivi vifurushi ambavyo sisi tunalalamika.
fundi aliniambia eneo langu huduma ipo ila vifaa kama router vimeisha inabidi nisubiri mwezi ujao, ila aliniambia nikiweza kupata vifaa atakuja kuniwekea ..
nimepanga niagize router kutoka nje, huwa naagiza mizigo yangu kupitia ali express na ebay na nimeona hivi vifaa, je vitafaa ??
View attachment 2370951
View attachment 2370955
Router kibongo bongo zipo mpya naziona kupatana na jiji 120k ina maana madukani chini ya hapo used as cheap as 5000 kama unajiamini zimejaa uhuru pale. Pia ukiongea nao hao mafundi wa TTCL wanaweza kukushauri zaidi.nilienda ttcl kuwaomba wanifungie internet ya kwenye zile nyaya za simu ili nipunguze gharama za hivi vifurushi ghali, kuna dogo namjua tangu 2020 yeye anatumia hii huduma hajawahi kuwa na habari na hivi vifurushi ambavyo sisi tunalalamika.
fundi aliniambia eneo langu huduma ipo ila vifaa kama router vimeisha inabidi nisubiri mwezi ujao, ila aliniambia nikiweza kupata vifaa atakuja kuniwekea ..
nimepanga niagize router kutoka nje, huwa naagiza mizigo yangu kupitia ali express na ebay na nimeona hivi vifaa, je vitafaa ??
View attachment 2370951
View attachment 2370955
Mkuu naomba unisaidie kunishauri router yenye hivyo vigezo ili niweze kuagiza ama kununua kama itakuwepo, hapo mbele nina mpango wa kubadili iwe fiber maana nitahamia mji wenye fiberRouter kibongo bongo zipo mpya naziona kupatana na jiji 120k ina maana madukani chini ya hapo used as cheap as 5000 kama unajiamini zimejaa uhuru pale. Pia ukiongea nao hao mafundi wa TTCL wanaweza kukushauri zaidi.
Kama unachukua online jilipue na router nzuri ambayo inasuport fiber na tech za kisasa kama wifi 5/6 ili iwe future proof, tunapoenda adsl itakuwa replaced na fiber.
Pia TTCL wanatumia adsl2+ ambayo bandwidth yake ni 24mbps kama unanunua online make sure ina hii support.
Vigezo ni hivi mkuuMkuu naomba unisaidie kunishauri router yenye hivyo vigezo ili niweze kuagiza ama kununua kama itakuwepo, hapo mbele nina mpango wa kubadili iwe fiber maana nitahamia mji wenye fiber
asante mkuu, ni matumaini yangu itapiga mzigo pia nikihamia kwenye fiber ya ttcl.Vigezo ni hivi mkuu
1. Iwe na adsl2+
2. Kwenye zile port za lan kuwe na wan (zipo router zenye lan unaweza configure wan lakini kama huna uelewa make sure ina wan ili kupunguza stress)
2. Iwe na wireless dual band.
Hio tp link ninayokuambia ipo kibongo bongo inakidhi vigezo viwili vya juu, sema wifi yake ni 4 (300mbps) sio hizi za kisasa dual band, unaweza nunua ila iwe last resort.
Kama unanunua online search maneno
adsl2+ dual band
Alternative
Adsl2+ 802.11ac
Zitakuja router za kisasa. Mfano kama hii
TP-Link Archer D5 AC1200 Wireless Dual Band Gigabit ADSL2+ Modem Router | eBay
Find many great new & used options and get the best deals for TP-Link Archer D5 AC1200 Wireless Dual Band Gigabit ADSL2+ Modem Router at the best online prices at eBay! Free shipping for many products!www.ebay.com
Switch sio? Hivyo vipo vya kutosha mtaani, hao mafundi pia wanavyo, watakuletea. Nafkiri pia haviingiliani na fiber so nunua tu.asante mkuu, ni matumaini yangu itapiga mzigo pia nikihamia kwenye fiber ya ttcl.
vp kuhusu adsl splitter
hapo kwenye mesh inakuwaje, pia hio wan itaniongezea speed au itafikisha wifi mbali au itanisaidiaje mkuuSwitch sio? Hivyo vipo vya kutosha mtaani, hao mafundi pia wanavyo, watakuletea. Nafkiri pia haviingiliani na fiber so nunua tu.
Yap, na hata fiber ya TTCL ikija na router yake unaweza fanya mesh na hio yako ya sasa ili kutengeneza coverage kubwa.
Wan ni port ya kuingiza internet kwa waya na kutoa kama wireless.hapo kwenye mesh inakuwaje, pia hio wan itaniongezea speed au itafikisha wifi mbali au itanisaidiaje mkuu
asante kwa ufafanuzi mkuu.Wan ni port ya kuingiza internet kwa waya na kutoa kama wireless.
Mesh ni kuongeza coverage ya wifi.
Mfano umeweka fiber na imekuja na router yake umeiweka ukumbini, ila vyumbani wifi hupati vizuri, unaweza weka router yako ya adsl kwenye corridor inachukua wifi ya ukumbini inasambaza vyumbani.
Hapana haina haja, hizo router zinakuwa na built in modem.asante kwa ufafanuzi mkuu.
hivi hii adsl inahitaji uwe na simu ya mezani??
Mbona hapa Bongo unapata tena kwa bei sawa na bure, Ni Tsh 60,000 tunilienda ttcl kuwaomba wanifungie internet ya kwenye zile nyaya za simu ili nipunguze gharama za hivi vifurushi ghali, kuna dogo namjua tangu 2020 yeye anatumia hii huduma hajawahi kuwa na habari na hivi vifurushi ambavyo sisi tunalalamika.
fundi aliniambia eneo langu huduma ipo ila vifaa kama router vimeisha inabidi nisubiri mwezi ujao, ila aliniambia nikiweza kupata vifaa atakuja kuniwekea ..
nimepanga niagize router kutoka nje, huwa naagiza mizigo yangu kupitia ali express na ebay na nimeona hivi vifaa, je vitafaa ??
View attachment 2370951
View attachment 2370955
Miundombinu ya Adsl ni ya kizamani, mwishoni mwa miaka ya 90 mpaka mwanzoni mwa miaka ya 2000, enzi za simu za mezani.Niko mafinga, nimefunga hiyo huduma ya ttcl kwakweli iko poa aana. Nalipia 25,000 kwa mwezi na ninapiga mzigo kama kawaida. Nashusha movies mpaka nachoka. Huko mjini youtube naingia mpaka basi. Tatizo ni kwamba eti kwa dar huduma inakuwa ngumu kuwekewa. Tena kuna maeneo hakuna hiyo huduma kabisa. Kama mwezi mwisho kwenda kibamba, yani kwa ufupi morogoro road kuanzia ubungo kwenda mpaka kiluvya hakuna. Sijajua kwa kibaha
Miundombinu ya Adsl ni ya kizamani, mwishoni mwa miaka ya 90 mpaka mwanzoni mwa miaka ya 2000, enzi za simu za mezani.
Hivyo kuna miji midogo ya zamani utaikuta, na kuna miji mipya mikubwa hutapata,
Na sehemu nyengine watu wanaiba waya wanauza shaba.
Miezi kadhaa iliopita wamepitisha maeneo mengi fiber, ni urasimu tu wa shirika.Wangefanya basi utaratibu wa hiyo fiber iwe covered sehemu zote kwa hiyo miji mikubwa. Ni ulofa kwa dar sehemu nyingine fiber isipatikane. Hii miji midogo wanafaidi kuliko town
Kaka mimi nimefunga hii ya TTCL ile ya coper tatizo inakata sana. unatumia kidogo taa ya internet inakua nyekundu net inakata. huu ,chezo mara nyingi asubuhi hadi mida ya saa kumi na moja inatulia, tatizo linaweza kuwa nini?Miezi kadhaa iliopita wamepitisha maeneo mengi fiber, ni urasimu tu wa shirika.
Miundombinu ya hapo mtaani kwenu. Kutakuwa na sehemu kupo loose, report tatizo kwao.Kaka mimi nimefunga hii ya TTCL ile ya coper tatizo inakata sana. unatumia kidogo taa ya internet inakua nyekundu net inakata. huu ,chezo mara nyingi asubuhi hadi mida ya saa kumi na moja inatulia, tatizo linaweza kuwa nini?
inawezekana asee. Nimeripoti siku ya tatu leo. Itabidi niwafate ofisin kwao jumatatu.Miundombinu ya hapo mtaani kwenu. Kutakuwa na sehemu kupo loose, report tatizo kwao.
Kwangu toka niweke zaidi ya miezi 6 sasa na inakaa hata mwezi haijakata.