Twilumba JF-Expert Member Joined Dec 5, 2010 Posts 12,576 Reaction score 14,522 Nov 12, 2022 #21 Senanjua said: Wangefanya basi utaratibu wa hiyo fiber iwe covered sehemu zote kwa hiyo miji mikubwa. Ni ulofa kwa dar sehemu nyingine fiber isipatikane. Hii miji midogo wanafaidi kuliko town Click to expand... Tusubiri ule mkopo wa China mkataa mmoja ni wa TEHAMA kama hawatabadilisha matumizi kununua Vieti mpya maana za zamani wamezichoka!!
Senanjua said: Wangefanya basi utaratibu wa hiyo fiber iwe covered sehemu zote kwa hiyo miji mikubwa. Ni ulofa kwa dar sehemu nyingine fiber isipatikane. Hii miji midogo wanafaidi kuliko town Click to expand... Tusubiri ule mkopo wa China mkataa mmoja ni wa TEHAMA kama hawatabadilisha matumizi kununua Vieti mpya maana za zamani wamezichoka!!