chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Arusha kumekucha, kuna habari kwamba God bless Lema ameomba kuonana na Rais Samia. Wadau wa mambo wanasema kwamba hii inazua tetesi zaidi kwamba inawezekana ni katika maandalizi ya kujiunga CCM, anataka kujua anatoka vipi.
Rais Samia atakuwa na ziara mkoani Arusha mwezi huu, tutarajie lolote.
=================
Mbunge wa Arusha mjini @mrisho_gambo amesema kuwa Godbless lema ambaye ni mwanachama wa CHADEMA amemtafuta na kumuomba Mbunge huyo amuombee nafasi ya kukutana Rais kwani anataka kurudi nyumbani.
Gambo amebainisha hayo wakati wakati wa wa ufunguzi wa kampeni za uchaguzi wa serikali zamitaa Karatu mkoani Arusha.