Pre GE2025 Maandalizi ya kurudi CCM? Godbless Lema aomba kuonana na Rais Samia. Mrisho Gambo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Jamani Lema amepoteza mvuto kabisa hata Chadema Arusha hawamtaki na huko CCM akienda hana bei ataambiwa kama anataka kujiunga CCM akamuone Makonda
 
Arusha kumekucha, kuna habari kwamba God bless Lema ameomba kuonana na Rais Samia. Wadau wa mambo wanasema kwamba hii inazua tetesi zaidi kwamba inawezekana ni katika maandalizi ya kujiunga CCM, anataka kujua anatoka vipi.

Rais Samia atakuwa na ziara mkoani Arusha mwezi huu, tutarajie lolote.
=================
Mbunge wa Arusha mjini @mrisho_gambo amesema kuwa Godbless lema ambaye ni mwanachama wa CHADEMA amemtafuta na kumuomba Mbunge huyo amuombee nafasi ya kukutana Rais kwani anataka kurudi nyumbani.

Gambo amebainisha hayo wakati wakati wa wa ufunguzi wa kampeni za uchaguzi wa serikali zamitaa Karatu mkoani Arusha.
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni.

Tunaona matunda ya Makonda.
 
anataka aende kumwambia ccm wenzake wanamsaliti rais, pia anataka amwambie kama hatabadilika atakufa kabla mwaka 2025 kuisha..awe makini na wana ccm wenzake huko ndani...lema nabii yule
 
Nyumbani ni Nyumbani
Kama kaamua kurudi nyumbani labda amepima upepo wa siasa za ushindani akaona pale patamfaa.Au anataka kustaafu siasa afanye kazi nyingine.
Ila lugha aliotumia Gambo inanipa mashaka.
 
Arusha kumekucha, kuna habari kwamba God bless Lema ameomba kuonana na Rais Samia. Wadau wa mambo wanasema kwamba hii inazua tetesi zaidi kwamba inawezekana ni katika maandalizi ya kujiunga CCM, anataka kujua anatoka vipi.

Rais Samia atakuwa na ziara mkoani Arusha mwezi huu, tutarajie lolote.
=================
Mbunge wa Arusha mjini @mrisho_gambo amesema kuwa Godbless lema ambaye ni mwanachama wa CHADEMA amemtafuta na kumuomba Mbunge huyo amuombee nafasi ya kukutana Rais kwani anataka kurudi nyumbani.

Gambo amebainisha hayo wakati wakati wa wa ufunguzi wa kampeni za uchaguzi wa serikali zamitaa Karatu mkoani Arusha.

Ukitaka kumshinda adui kilaini aliye win public sentments lazima usambaze propaganda . Siasa vi vita kama ilivyo vita nyingine isipokua huku silaha unatumia maneno na ushawishi
 
Lema hawezi kujidhalilisha kiasi hivyo maana ana shughuli zake za kumuingizia kipato.
 
Arusha kumekucha, kuna habari kwamba God bless Lema ameomba kuonana na Rais Samia. Wadau wa mambo wanasema kwamba hii inazua tetesi zaidi kwamba inawezekana ni katika maandalizi ya kujiunga CCM, anataka kujua anatoka vipi.

Rais Samia atakuwa na ziara mkoani Arusha mwezi huu, tutarajie lolote.
=================
Mbunge wa Arusha mjini @mrisho_gambo amesema kuwa Godbless lema ambaye ni mwanachama wa CHADEMA amemtafuta na kumuomba Mbunge huyo amuombee nafasi ya kukutana Rais kwani anataka kurudi nyumbani.

Gambo amebainisha hayo wakati wakati wa wa ufunguzi wa kampeni za uchaguzi wa serikali zamitaa Karatu mkoani Arusha.
Ingelikuwa hivyo wala asingetangaza!
 
Back
Top Bottom