Arusha kumekucha, kuna habari kwamba God bless Lema ameomba kuonana na Rais Samia. Wadau wa mambo wanasema kwamba hii inazua tetesi zaidi kwamba inawezekana ni katika maandalizi ya kujiunga CCM, anataka kujua anatoka vipi.
Rais Samia atakuwa na ziara mkoani Arusha mwezi huu, tutarajie lolote.
=================
Mbunge wa Arusha mjini @mrisho_gambo amesema kuwa Godbless lema ambaye ni mwanachama wa CHADEMA amemtafuta na kumuomba Mbunge huyo amuombee nafasi ya kukutana Rais kwani anataka kurudi nyumbani.
Gambo amebainisha hayo wakati wakati wa wa ufunguzi wa kampeni za uchaguzi wa serikali zamitaa Karatu mkoani Arusha.
Arusha kumekucha, kuna habari kwamba God bless Lemma ameomba kuonana na Rais Samia. Wadau wa mambo wanasema kwamba hii inazua tetesi zaidi kwamba inawezekana ni katika maandalizi ya kujiunga CCM, anataka kujua anatoka vipi.
Rais Samia atakuwa na ziara mkoani Arusha mwezi huu, tutarajie lolote. View attachment 3157090

Gambo afatwe na Lema kamwe hawezi kutangaza. Anajua lema akienda ccm na yeye ubunge ndio basi. Maana ccm watampa lema agombe na yeye atakuwa hana kazi ya kufanya jambo ambalo Gambo hatamani litokee
Arusha kumekucha, kuna habari kwamba God bless Lema ameomba kuonana na Rais Samia. Wadau wa mambo wanasema kwamba hii inazua tetesi zaidi kwamba inawezekana ni katika maandalizi ya kujiunga CCM, anataka kujua anatoka vipi.
Rais Samia atakuwa na ziara mkoani Arusha mwezi huu, tutarajie lolote.
=================
Mbunge wa Arusha mjini @mrisho_gambo amesema kuwa Godbless lema ambaye ni mwanachama wa CHADEMA amemtafuta na kumuomba Mbunge huyo amuombee nafasi ya kukutana Rais kwani anataka kurudi nyumbani.
Gambo amebainisha hayo wakati wakati wa wa ufunguzi wa kampeni za uchaguzi wa serikali zamitaa Karatu mkoani Arusha.
Gambo mwenyewe hatakiwi na wanaCcm wenzake wa Arusha, halafu ndio awe mtu wa kumfanyia mipango Lema ahamie Ccm? Huyo amekosea hoja za kuwaeleza wapiga kura ameamua kubwabwaja.
Lema kafilisi baa ya ndugu take pale mwanza, iliitwa Villa Park, yeye na Lissu na Mbowe walikuwa wakimaliza mikutano wanaenda kufakamia vinywaji na vyakula