The Russian Strategic Missile Forces loaded two Yars intercontinental ballistic missiles (ICBM) into their intended silos this week, the Defense Ministry reported. The Russian military released footage of the loading operations.
Your browser is not able to display this video.
The nuclear rearmament took place at the Kozelsk missile facility in Kaluga Region in central Russia. Loading an ICBM into a silo requires dedicated infrastructure and hours of difficult operations, the ministry noted.
The missiles were placed into their intended positions on Wednesday and Thursday, according to the report.
The RS-24 Yars is derived from the RT-2PM2 Topol-M design and can be fired from either a road-mobile launcher or a silo.
Mashoga tu ndiyo wanaamini lakini Kiukweli hawezi Hana ubavu huo na yeye anajua wapi kuwa akiitumia tu ndiyo naye utakuwa mwisho wake kitu ambacho Putin hawezi kulifanya.
Nuclear, Nuclear, Nuclear, ni heshima tu ya nchi ikiwa nayo, Ila nchi hiyo haiwezi kuitumia Kwa sababu kufanya hivyo, ni kukubali pia nchi hiyo kuwa majivu Kwa nuclear zitakazotumwa kwake Kutoka mataifa mengine!

Muda mwingine kukaa kimya ni busara kuliko kujikuta mjuaji kwa kitu usicho na uelewa nacho.
Hoja yako ya "nchi inayomiliki nuclear haiwezi kuzitumia" ni dhaifu sana. Zile nukes za USA zilizo tua Hiroshima na Nagasaki zilikuwa mabomu ya machozi siyo?
Hoja yako ya pili kuwa nchi ikiipiga nuclear nchi nyingine nayo itapigwa nukes na mataifa mengine. Are you serious?
Yani unategemea USA au nchi yeyote ya ulaya inayomiliki nukes irushe nukes Urus kisa Urusi kairushia Ukraine?
Daah! Kama mambo ndo yangekuwa rahisi hivo basi Marekani angekuwa ashamfyekelea mbali Korea kaskazini.