kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 12,971
- 15,248
Kama marekani ameshindwa kumuadabisha Korea kasikazin kwa nyukria kwa nn unategemea urusi aitumie Huko Ukraine,Muda mwingine kukaa kimya ni busara kuliko kujikuta mjuaji kwa kitu usicho na uelewa nacho.
Hoja yako ya "nchi inayomiliki nuclear haiwezi kuzitumia" ni dhaifu sana. Zile nukes za USA zilizo tua Hiroshima na Nagasaki zilikuwa mabomu ya machozi siyo?
Hoja yako ya pili kuwa nchi ikiipiga nuclear nchi nyingine nayo itapigwa nukes na mataifa mengine. Are you serious?
Yani unategemea USA au nchi yeyote ya ulaya inayomiliki nukes irushe nukes Urus kisa Urusi kairushia Ukraine?
Daah! Kama mambo ndo yangekuwa rahisi hivo basi Marekani angekuwa ashamfyekelea mbali Korea kaskazini.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app