Maandalizi ya Makombora ya nyuklia ya Urusi

Muda mwingine kukaa kimya ni busara kuliko kujikuta mjuaji kwa kitu usicho na uelewa nacho.

Hoja yako ya "nchi inayomiliki nuclear haiwezi kuzitumia" ni dhaifu sana. Zile nukes za USA zilizo tua Hiroshima na Nagasaki zilikuwa mabomu ya machozi siyo...
Kwani Korea kaskazini amewahi kutumia nukes kwa mtu mwingine? Logic yako ikoje hapa?
 
Muda mwingine kukaa kimya ni busara kuliko kujikuta mjuaji kwa kitu usicho na uelewa nacho.

Hoja yako ya "nchi inayomiliki nuclear haiwezi kuzitumia" ni dhaifu sana. Zile nukes za USA zilizo tua Hiroshima na Nagasaki zilikuwa mabomu ya machozi siyo?

Hoja yako ya pili kuwa nchi ikiipiga nuclear nchi nyingine nayo itapigwa nukes na mataifa mengine. Are you serious?

Yani unategemea USA au nchi yeyote ya ulaya inayomiliki nukes irushe nukes Urus kisa Urusi kairushia Ukraine?

Daah! Kama mambo ndo yangekuwa rahisi hivo basi Marekani angekuwa ashamfyekelea mbali Korea kaskazini.
Wewe ndio ulipaswa ukae kimya kwakutokuwa na uwelewa wa haya mambo. Mwenzio kaongea vitu vya msingi wewe umempinga kwa dharau as if you're knowledgeable about international military laws and PACTS that the super power nations have already got into;
~ Kwanza jifunze nini maana ya MUTUAL DESTRUCTION PACT na RECIPROCAL EFFECT na atakayeanza kutumia nuclear weapon...
 
Mr Tyang
nini kitamtokea atakayeanza kutumia dhidi ya taifa jingine.
~ Pili jifunze nini maana ya PRESTIGOUS WEAPONS na kwanini mataifa makubwa wanazo na wengine wanang'ang'ania kuwa nazo na kwanini USA kama kiranja wa amani duniani UNSC's charman anapinga kwa nchi ambazo zinaazimiwa kama hazina proper technology ya kuhandle NUCLEAR ENERGY UTILIZATION.
~ Tatu jua baada ya kuundwa kwa UNO hakukuwa na makubaliano juu ya matumizi ya aina gani ya siraha kwenye vita. UNO ilibase sana katika kuipunguza nguvu Germany na kuijenga Ulaya iliyokuwa imeparaganyika baada ya WWI. Huu ndio ulikuwa UPENYO wa USA kutumia zile ATOMIC BOMBS at Nagasaki na Hiroshima kuizima WWII na dunia kutunga sheria za vita kimataifa na kuivunja UNO na kuzaliwa UN itakayosimamia maswala ya kiulinzi na kijamii duniani kupitia taasisi zake baada ya dunia kushuhudia madhara na majanga yaliyosababishwa na WWII.
~ Nne N.Korea hajawahi kutumia mabomu ya nuclear
Jifunze
 
Hakuna nchi imewahi kutumia Nuke
za US zilikuwa ni Atomic Bomb.
Shida yako inaonekana uliikimbia physics baada tu ya kufika kidato cha tatu, ndo maana huelewi atomic bombs ni nini na inafanya vipi kazi..

Ok nisihangaike bure kuingia deep kwenye fizikia nika kuchanganya zaidi, jisomee hiki kidogo hapa chini kitakupa mwanga juu ya atomic bombs ni silaha ya aina gani na inafanya vipi kazi.

Atom or atomic bombs are nuclear weapons. Their energy comes from reactions that take place in the nuclei of their atoms. During World War Two, “atomic bomb” usually meant a bomb that relies on fission, or the splitting of heavy nuclei into smaller units, releasing energy.

#Tusichokijua
 
Boss naona yuko sawa na wewe uko sawa, ni kweli yote ni nuclear bomb lakini nuclear bomb of today compare na lililopiga Hiroshima ni zaidi ya mara 3000, nafikiri unaweza kuona point yake kwenye tofauti ya power ya haya mabomu ingawaje process ni ile ile
 
Kwahiyo ardhi ikiwa kubwa ndio nini?! Hoja zingine bhana!

Marekani na Urusi wanamiliki 90% ya silaha za nyuklia,iwapo silaha zao zote zitatumika zina uwezo wa kuharibu Dunia nzima mara kadhaa halafu ww unatuambia ardhi ya Urusi hizo 17m km²?!!!!!!!!!!
Maana yake Mrusi mabomu yake matatu yakifanikiwa kutua UK basi hakutakuwa na nchi inaitwa UK.Wakati mabomu 20 ya UK yakifanikiwa kutua Urusi, bado taifa la Urusi litakuwepo.sasa hapo umeona umuhimu wa kuwa na eneo kubwa
 
Unaongea nn wew , yaan uwe na vjfaa na maadui zako unawajua wa siku zote usiwe na logistics zako
Si rahisi kurusha hizo missile maana inahitaji planning, logistics kibao
 
Mkuu umeongea logic hiyo vita nuclear itakuw man to man nchi nyingne awez kuchukua hatua haraka kupg bomu la nuclear wakat wao hawajashambuliw

Maan kufanya hvyo nikujihatarisha wao pia kupagw bomu na kupelekea madhara makubwa
Nazan sasa ni muda wa Kuendeleza diplomasia sio vita hii
Muda mwingine kukaa kimya ni busara kuliko kujikuta mjuaji kwa kitu usicho na uelewa nacho.

Hoja yako ya "nchi inayomiliki nuclear haiwezi kuzitumia" ni dhaifu sana. Zile nukes za USA zilizo tua Hiroshima na Nagasaki zilikuwa mabomu ya machozi siyo?

Hoja yako ya pili kuwa nchi ikiipiga nuclear nchi nyingine nayo itapigwa nukes na mataifa mengine. Are you serious?

Yani unategemea USA au nchi yeyote ya ulaya inayomiliki nukes irushe nukes Urus kisa Urusi kairushia Ukraine?

Daah! Kama mambo ndo yangekuwa rahisi hivo basi Marekani angekuwa ashamfyekelea mbali Korea kaskazini.
 
Mr Tyang
nini kitamtokea atakayeanza kutumia dhidi ya taifa jingine.
~ Pili jifunze nini maana ya PRESTIGOUS WEAPONS na kwanini mataifa makubwa wanazo na wengine wanang'ang'ania kuwa nazo na kwanini USA kama kiranja wa amani duniani UNSC's charman anapinga kwa nchi ambazo zinaazimiwa kama hazina proper technology ya kuhandle NUCLEAR ENERGY UTILIZATION.
~ Tatu jua baada ya kuundwa kwa UNO hakukuwa na makubaliano juu ya matumizi ya aina gani ya siraha kwenye vita. UNO ilibase sana katika kuipunguza nguvu Germany na kuijenga Ulaya iliyokuwa imeparaganyika baada ya WWI. Huu ndio ulikuwa UPENYO wa USA kutumia zile ATOMIC BOMBS at Nagasaki na Hiroshima kuizima WWII na dunia kutunga sheria za vita kimataifa na kuivunja UNO na kuzaliwa UN itakayosimamia maswala ya kiulinzi na kijamii duniani kupitia taasisi zake baada ya dunia kushuhudia madhara na majanga yaliyosababishwa na WWII.
~ Nne N.Korea hajawahi kutumia mabomu ya nuclear
Jifunze
Asipokuelewa na hapa mchape kibao.
 
Shida yako inaonekana uliikimbia physics baada tu ya kufika kidato cha tatu, ndo maana huelewi atomic bombs ni nini na inafanya vipi kazi..

Ok nisihangaike bure kuingia deep kwenye fizikia nika kuchanganya zaidi, jisomee hiki kidogo hapa chini kitakupa mwanga juu ya atomic bombs ni silaha ya aina gani na inafanya vipi kazi.

Atom or atomic bombs are nuclear weapons. Their energy comes from reactions that take place in the nuclei of their atoms. During World War Two, “atomic bomb” usually meant a bomb that relies on fission, or the splitting of heavy nuclei into smaller units, releasing energy.

#Tusichokijua
Hii definition anaweza akahisi umeitoa kichwani mwako, ungemwambia aingie google ajisomee mwenyewe, au ungempa hata link. Tunabishana na watu wendawazimu kabisa mkuu.
 
Umesahau kuwa wenzie wameweka zimemzunguka. Ziko uturuki Poland
Nafikiri hata Ukraine hapo zipo. Kumbuka Biden alimwambia Putin ukiruhusu kutumia Nuclear, ulipwa zaidi ya kile utakachofanya Ukraine. Hii maana yake kuna vyuma tayari vipo kila eneo vikiizunguka Russia.
 
Boss naona yuko sawa na wewe uko sawa, ni kweli yote ni nuclear bomb lakini nuclear bomb of today compare na lililopiga Hiroshima ni zaidi ya mara 3000, nafikiri unaweza kuona point yake kwenye tofauti ya power ya haya mabomu ingawaje process ni ile ile
Kwani wanadamu wa kwanza waloishi miaka elfu, na mwanadamu wa sasa anayeishi miaka 100 wote si wanadamu? Umesoma vyema hiyo definition na kuielewa? Nuclear ni Nuclear tu haijarishi ni ndogo au kubwa ila ni Nuclear.
 
Maana yake Mrusi mabomu yake matatu yakifanikiwa kutua UK basi hakutakuwa na nchi inaitwa UK.Wakati mabomu 20 ya UK yakifanikiwa kutua Urusi, bado taifa la Urusi litakuwepo.sasa hapo umeona umuhimu wa kuwa na eneo kubwa
Umefkiria pia hayo 20 yatakuwa na nguvu kubwa kiasi gani au yatalenga hasa eneo gani? Nuclear si mchezo kijana.
 
Mim sio mtaalamu lakn lazm uwe ulishachukua target mkuu na setup
Kama kubak n mambo madoro sana
Ofkoz kama set up tayari NATO washazifanya, Biden alimwambia Putin, akiipiga Ukraine kwa Nuclear, ategemee yeye kupigwa zaidi.

Miezi iliyopita, US alituma ndege zake za upepelezi angani akitokea kwenye kambi yake ya kijeshi iliyopo Japan, thread ya hizi ndege ilishaletwaga humu ndani. Hizi ndege kazi yake ni kutoa taarifa kama kuna indicator yoyote ya nuclear kurushwa kutoka Russia.

Kwa hali hii, punde Russia akiruhusu hizo nuclear, US anaweza akazifyatua muda huohuo na yeye hizo nuclear kuelekea Russia. Itakuwa wameshaweka silaha ktk hali ya utayari wa hali ya juu.
 
Back
Top Bottom