Maandalizi ya Makombora ya nyuklia ya Urusi

Kama marekani ameshindwa kumuadabisha Korea kasikazin kwa nyukria kwa nn unategemea urusi aitumie Huko Ukraine,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Logistic ilishafanyika zamani sana, na zimeelekezwa maeneo yote muhimu ni kuziachia tu
Acha ubishi hakuna uwezo wa kurusha hizo missile ndani ya 30 minutes maana kila Sub lazima ipokee maelekezo etc
 
Sio tu kuwa mengi bali ardhi yake tu ni kubwa kuliko iyo Nato
Kwahiyo ardhi ikiwa kubwa ndio nini?! Hoja zingine bhana!

Marekani na Urusi wanamiliki 90% ya silaha za nyuklia,iwapo silaha zao zote zitatumika zina uwezo wa kuharibu Dunia nzima mara kadhaa halafu ww unatuambia ardhi ya Urusi hizo 17m km²?!!!!!!!!!!
 
that will be a suicide mission to russia
Hakuna Cha suicide mission wala Nini.
Muda ukifika na sbabu ya kutumia ikiwepo yatatumika TU.
Yalitengenezwa ya ninj?
USA anayo,china anayo France anayo UK anayo India anayo Pakistan anayo.wote hao mda na sababu za kuyatumia ukifika watayatumia TU.
Kama wanadhani anatania NATO waanza kuivamia Urusi kwa silaha zao zote uone kama hatayatumia.
 
Amfyekelee mbali ili iweje, pengine hayupo kwenye ratiba zake kwa sasa. Ngoja uone Russia anavyonyooshwa kisha utaona Iran, China, Korea n.k watakavyofyata mkia.
 
Nna uhakika russia hana idadi kubwa ya nuklia kama anavyotamba, na sio deadly kama analivyotuaminisha. Muda ni hakimu mzuri, tutaona tu.
 
Kwanini sio Russia kuishambilia NATO? Yeye si alisema atakayeisaidia Ukraine itakutana na mkono mzito? Kwanini asitekeleze ahadi yake?
 
Aisee nadhani wewe uleandika hapa pengine ni CDF wetu.
Maana unaonesha una akili kuliko ma generali na ma field Marshal wote wa Urusi,wakuu wa vyombo vya usalama wa Urusi na wanasiasa wote.
Inawezekana kabisa jamaa akawa bright kuliko vyombo vyote vya usalama vyw Russia, ni matahira pekee ndio walioruhusu nchi ikaivamie Ukraine. Ni matahira tu.
 
AKILI NI SILAHA KUBWA KULIKO ZOTE. SASA HIVI MTU MWENYE MISULI AKIAMBIWA KAA CHINI NA MTOTO MDOGO ALIYESHIKA BUNDUKI ANATII. WENYE AKILI NDO WAMESABABISHA HILI LIWEZEKANE.

SASA: Tusisahau kuwa aliye na uwezo wa juu wa tech ndiye anayemiliki silaha zote zinazohitaji tech kufanya kazi. Nawaza tu iwapo kuna nchi imefikia uwezo wa kuhack kombora kutoka kwa walio lirusha na kuliekeza sehemu wanayoitaka wao. Inamaana makombora yote ni kama yao tu ila yapo maghalani wakitunziwa.

Unaenda vitani ukiamini una Nukes kumbe sio zako na wenye nazo ndo unaenda kupigana nao.
 
Ha ha ha ha ha yamkini ndio maana zile tambo zao za kutumia nuke wameziacha. Yawezekana Putin alivyotaka kutikisa kibiriti wanaume wakamuonesha vile atakavyoangamiza nchi yake.
 
Ha ha ha ha ha yamkini ndio maana zile tambo zao za kutumia nuke wameziacha. Yawezekana Putin alivyotaka kutikisa kibiriti wanaume wakamuonesha vile atakavyoangamiza nchi yake.
Kama ingekuwa limefanyika kwa mafanikio Putin angekuwa keshavamiwa. 🙂
 
Inasubiriwa barafu tu kwa sababu ndio rafiki
 
Hakuna nchi imewahi kutumia Nuke
za US zilikuwa ni Atomic Bomb.
 
NATO na US wanajua silos zilipo na ndio itakuwa first point of attack
Nyingi zipo chini ya hahari mrusi siyo mjinga..vitu vitachomoka kwenye bahati kuu wewe mwenyewe utashangaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…