Maandalizi ya Makombora ya nyuklia ya Urusi

Akirusha mbili atarudishiwa 1000 hata kabla zake hazijatua na anajua hilo
Russia has more nuclear war heads or nuclear bombs to be precise, than any country in the world. Muwage mnafuatilia mambo sio kusubiri matukio ndo mvae taaluma ya uchambuzi.
 
Warusi weusi vita ya kawaida mmeshindwa leo mnaongelea nuclear, kuwakumbusha tuu ni miezi 10 sasa ,zaidi ya vimiji vya mpakani hakuna hata mji wa maana mmechukua kutoka Ukraine, na miji mingine mliyochukua mwanzoni Ukraine kawatandika na kaichukua back, sasa mna target grid za umeme na maji ila mjue mtalipa huo uharibifu na mtajenga grid ya nchi nzima kwa pesa zenu za gas na mafuta, Putin atashitakiwa kwa war crimes na mtaamriwa kulipa fidia za mabilioni kwa Ukraine na mtalipa tuu la sivyo hamtauza hata lita moja ya mafuta
 
Akirusha mbili atarudishiwa 1000 hata kabla zake hazijatua na anajua hilo
Soma vizuri makomobora YARS yana uwezo gani kijeshi Duniani ie barani Ulaya na Amerika kwenyewe - achaneni na propaganda za kitoto za CNN na VoA - Kwani leo Generali WA Ukraine mwenye uzoefu mkubwa wa kijeshi kaonya nini kuhusu uwezo wa jeshi la Urusi - Kama nakumbuka vizuri mwezi mmoja uliyopita a brainy scientist and a very respected industrialist WA American gave almost the same advise/warming to Europeans leaders and US leaders and NATO Generals that they should never ever underrated Russian Military capabilities - Russia she's ways and lightening fast delivery systems of annihilating both continents at a go and no one will be alive to tell the tale the morning after, or even have enough time to say their last players, sasa kama mnafikiri jamaa hao wawili wenye hekima na busara hawana akili, basi kaeni Mkiamini Mungu wenu wa Dunia kwamba ndie Alpha na Omega!!
 
Maana yake Mrusi mabomu yake matatu yakifanikiwa kutua UK basi hakutakuwa na nchi inaitwa UK.Wakati mabomu 20 ya UK yakifanikiwa kutua Urusi, bado taifa la Urusi litakuwepo.sasa hapo umeona umuhimu wa kuwa na eneo kubwa
Wakati huo zile Vanguard Submarines za UK zikiwa zimebeba Trident ICBM zinakua zimesinzia au?!

Vanguard sub za UK zenye Trident ICBM ambapo kombora moja linabeba mpk vichwa 8-12 zina uwezo wa kuifuta hiyo Urusi yako yote bila hata msaada wa NATO.
 
Hivi kuna mtu anayeamini putin atatumia nuclear? Putin hawezi kuwa mwendawazimu kiasi hiko.
Uweda wazimu upi unao uzumgumzia hapa-wakati watu wenye akili timamu Dunia nzima wanatambua kwamba Putin ni mega smart upstairs alishasema mara nyingi tu kwamba akiona Taifa lake linatishiwa kweli kweli na NATO/US atazichukulia hatua Kali - wanaotaka kumbeza beza go ahead and do it, lakini watu wenye akili nyingi na busara kama Elone Musk na Generali wa sasa wa Ukraine wametoa onyo gani kuhusu uwezo wa jeshi la Urusi.

Nyie bakini na imani zenu potofu kwamba jeshi la Urusi limekimbia huko Kiev na Kherson hivyo hawana lolote kivita!!!
 
Watu wanamsifia tuuu Russia na wakati izi nchi German, France, Italy, United kingdom na Netherlands hawezi kupigana nazo hata kidogo
 
Kuwa na akili nyingi haimaanishi kwamba mtu anaiba mke wako, ety mkae meza moja msuruishe. Apo lazima uingie mpambano potelea mbali hata Kama utashinda
 
Mtu ambae hamuogopi na anammaindi Russia ni United kingdom, yule ndio aliwapa ujasiri wazungu kupeleka misaada Ukraine
 
Anatisha tu huyo nae ni mzungu kama wazungu wengine,wanaangalia vizazi vyao vinavyo,
Angekuwa mwarabu hapo tungekuwa na wasiwasi
Tuwaache waendelee kufunzana adabu
 
Kwani kherson na kiev walikimbia? Si mlisema ni mbinu za kimkakati?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…