MPIGA ZEZE
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 2,539
- 2,297
Ataemchaguwa mgonjwa amuongoze, huyo ni mgonjwa zaidi ya mgonjwa.
SABABU kutakuwa na a million man in attendance-itabidi ashushwe na choppermamvi ataweza kupanda hapo?
Ataemchaguwa mgonjwa amuongoze, huyo ni mgonjwa zaidi ya mgonjwa.
Ataemchaguwa mgonjwa amuongoze, huyo ni mgonjwa zaidi ya mgonjwa.
Tulianza na mgonjwa Ikulu na tumemaliza naye salama salimini. Masuala ya ugonjwa tumwachie Mwenyezi Mungu.
JK alianguka Jangwani wakati wa uzinduzi wa kampeni 2005 na kukimbizwa Muhimbili na juzi ametibiwa tezidume huko Marekani. Tumshukuru Muumba kwa kutuwezesha kupita miaka kumi tukiwa na rais mgonjwa Ikulu. Mungu anatupenda, hata tukipata mgonjwa mwingine tutamaliza naye hivyo hivyo - kazi kubwa iliyo mbele yetu sasa ni kufumua mfumo uliochoka. Mengine tutazungumza baada ya hiyo kazi muhimu. Kila mmoja, awe ccm awe ukawa, awe cho chote atanufaika na mabadiliko. Ni mabadiliko kwa Watz wote ikiwa ni pamoja na FF. Jiunge na teammabadiliko - chagua UKAWA, chagua Lowassa.
Basi sawaAtaemchaguwa mgonjwa amuongoze, huyo ni mgonjwa zaidi ya mgonjwa.
Hapana mkuu hataweza lakini kwa mama yako ataweza
Every One Expect Smthng Different Frm That What Have Been Said By Ccm....All Tanzanians We Expect Lowassa To Say Smthng That Will Open Their The Minds And Eyes.All In All I Knw True Tanzanians Without Based On Their Side Wl B Keen Listening,respecting What Have Been Said And Make A Good Choice..
Reminding Me Ni Ccm
#Hapakazitu #umojaniushindi
Ataemchaguwa mgonjwa amuongoze, huyo ni mgonjwa zaidi ya mgonjwa.
Lakini mkuu mgonjwa huyu yuko strong sana FaizaFoxy kwa kuwa hajaanguka katika majukwa, hafla la makanisa, aiport na sehemu za vificho. Yule alianguka na bado kesho yake tukaamini atatuvusha umaskini lakini tumebaki kuwa maskini. Acha tu tumchague na tutamtibu kama ni mgonjwa kama ambavyo tumeendelea kuwatibia wengine marekani au vipi hapo mkuu wangu? Habari za siku nyingi lakini? Nilipumzika kidogo hapa karibia mwaka nilikuwa napita kwenye dash board tu.Ataemchaguwa mgonjwa amuongoze, huyo ni mgonjwa zaidi ya mgonjwa.
We mwenyewe kama si ARV saa hizi kaburi lako lingesomeka siku uliyozaliwa na kufa
Huyo binti mahaba ya dini yamemjaa pomoni akisikia Lowassa kaslimu atampenda ghafla.mwaka huu wote ni makafiri sasa wakwetu tutampigia nan ?
huyu mwingine ndo wa kule canon law alafu nasikia alitaka Kuwa padre akafukuzwa sasa itakuaje? au tujaribu kwa huyu nywele nyeupe maarufu kama ostadhi abdala?
Nakubaliana na wewe kabisa mkuu Bome-e wafungue mwingine kesho mambo yakianza tangu asubuhi na mapema kabisaaa. Huu mpaka tulale leo post zitakuwa million na usheeeUzi tu wa maandalizi umejaa hivi,nasubiri uzi wa liveupdates!Kama vp ufunguliwe kabisa leo
We mwenyewe kama si ARV saa hizi kaburi lako lingesomeka siku uliyozaliwa na kufa