Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Status
Not open for further replies.
hivi mbona ccm pamoja na kusomba watu na malori, kugawa pesa, kugawa tshirt na kofia bila kusahau kanga na kugawa wali ila hamjawai pata nyomi ya kutisha

Now umeongea,kumbe na nyie ni copy ya ccm?sasa hayo mabadiliko mnayoyaongelea ni yepi au ccm b?
 
jamiiforum wiki iliyopita mliweka picha za makufuri kila unapofungua post humu ndani please wekeni picha ya lowassa pia leo.
 
Last edited by a moderator:
Mungu akisema ndiyo ni nani atakaye sema hapana!??
 
Kazi tu,ilishindikana wakati wa ari,nguvu,na kasi?

Kazi tu ilishindikana wakati wa maishabora kwa kila mtanzania?

Watanzania,wanahitaji mabadiliko
 
Mimi nipo huku Karatu nasikia leo mgombea wetu anafumua ufisadi wa serikali.
 
Kumbe na ww kiazi huna point...nmesomaaaaaaa nkijua utakuwa umeongea kitu kumbe utumbo mtupu jipange hapo umeongea usingizi tuu

Kumbuka utumbo ukichanganya na ndizi vikapikwa ni bonge ya msosi. Kwa maana hiyo jamaa kaongea point nzuri sana.
 
Bila kukosa makamanda ote mabadiliko lazima October mlipo tupo Edward lowassa chaguo LA watanzania wote jangwani bila kukosa vijana wenzangu wazee wamama na wadada zanguu people
 
Nashukuru nimefika dar salama.

Pole kwa uchovu wa safari, za huku ni shwari, jipange upate khabari, mapema kuanzia alfajir, makamanda wamejaa utitiri, leo kweli zitadhihiri na Jiji litakiri!
 
UWIIIIIIIIIIIIIIII jaman im so happy!!!!!LEO SABATO YAANI NKITOKA TU CHURCH HAKUNA NAMNA AISEEEE,!!!!!!!!!!MUNGU AWE NANYI MAKAMANDA WENZANGU!!!!!!!!NAMUOMBEA KHERI KAMANDA LOWASSA MUNGU AMJALIE HERI NA AFYA NJEMAAAAA!!!!!!!AMINAAAA
 
Sasa mbona mwanzisha thread alivyocomment anaonesha si UKAWA sasa kwanini muwashambulie UKAWA? Hivi mnasoma? Mnakariri? Huko shuleni mlienda kunywa uji tu?
 
duuh! Huu sasa ni ujinga yaan wanadanganya kweupe hivi?
Hahahaaaa! Kweli kauli ya mkapa iko sahihi. Imetokea wakat muafaka na kwa watu sahihi. Marofa na mapumbavu
Yaani nakubaliana na maneno ya magufuli kuwa uchaguzi mwaka huu utajaa mbwembwe za kila aina maigizo ya kila aina hasa kwa sababu kuna watu wamesomea maigizo. Aibu nyie mnaojiita great thinkers kuchukua picha za matukio mengine ili kudanganya umma. Shame on you. Mm nime Google hapa hiyo picha kweli ni ya fiesta mbeya 2013.
 

Mkuu huwezi amini Chozi la Ushindi limenitoka.
Nadhani hao ni baadhi ya waliojitolea kulinda Jukwaa usiku kucha je watakaoenda leo watakaa wapi?
Mi nadhani viwanja vyote vya wazi ziwekwe Screen kubwa ili watu wafatilie Mkutano wakiwa huko.
Pia wangetupatia Uwanja wa Taifa, Uhuru na Karume ziwekwe Screen kubwa kwani leo Jangwani hapatoshi.
 
Leo Ni Leo, safari ya kuing'oa CCM imefika % 90!!!!!!!!! CCM wanatambua, Mimi najua, wewe je?
Viva UKAWA.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…