Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Status
Not open for further replies.
Dar es Salaam leo kuna dalili ya mvua kubwa kunyesha. Nauliza UKAWA wamefunga maturubai na mimi nije kwasababu siko tayari kunyeshewa na mvua kuwasikiliza kina Mbowe wakitunga uongo wa kumsafisha fisadi.

Wachawi utawajua tu!
Tumekufungia la kwako njoo! !
 
jamiiforum wiki iliyopita mliweka picha za makufuri kila unapofungua post humu ndani please wekeni picha ya lowassa pia leo.
Mkuu hilo ni tangazo linalipiwa,ukawa wapo chini sana kwenye mambo km hayo. Tumepiga kelele sana lkn hakuna kinachoendelea. Chadema wanadharau sana social media ukilinganisha na ccm kwa sasa. Utaona hata leo tukio kubwa km hili lkn utakuta member wa kawaida ndo wanaleta update hapa. Inakera sana kwakweli!
 
Last edited by a moderator:
_MG_7232.jpg

Mbalizi

Najua unapata tabu EMB ni pm jina taarifa zako FaizaFoxy
 
Mafuriko yameanzia huku huku mtandaoni. Angalia idadi ya comments na sasa bado Ni asubuhi
 

Attachments

  • TMPDOODLE1440825214048.jpg
    TMPDOODLE1440825214048.jpg
    206.4 KB · Views: 502
Daah. Kwetu malofa na wapumbavu wa kagera umeme umechukuliwa toka saa 11 alfajiri.Werevu wameshachukua umeme wao.Sijui werevu wenzao kama wamewagawia generator au wans uhakika nao kwamba kila mmoja ana solar panel.

kinachofurahisha ni kwamba ccm haijali wateja wake yaani inawapa maumivu hata wateja wake. nashauri wateja wa ccm washtuke kabla hasara haijawa kubwa.
 
Mkuu d tarimo mbona hukuna updates zozote ndugu? Tupia hata picha ya jukwaa tulione kabla halijakaliwa.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hilo ni tangazo linalipiwa,ukawa wapo chini sana kwenye mambo km hayo. Tumepiga kelele sana lkn hakuna kinachoendelea. Chadema wanadharau sana social media ukilinganisha na ccm kwa sasa. Utaona hata leo tukio kubwa km hili lkn utakuta member wa kawaida ndo wanaleta update hapa. Inakera sana kwakweli!

ukawa tatizo hela, ccm wamekwiba kodi zetu na kuuza nchi, sasa pesa za kumwaga; matangazo , madera, fulana kofia bureeee, na usafiri japo wa ng'ombe....kitim tim ni uchaguzi ukiisha, wanakuwaga bize kweli kuchukua chao mapema, ahadi zote wanazo pigia kelele sasa hivi ni zile zile walizopigia kelele miaka mitano iliyopita. Mungu atusaidie
 
Lowasa leo anaisimamisha nchi kwa Masaa kadhaa kama.sio.siku.

Pale atakapotoa na kujibu hoja mfu.za mafisiem
 
Leo ndio tunaenda kufungua kampeni, wiki iliyopita ilikuwa fiesta pale jangwani
 
Ccm wameleta waganga kutoka togo ghana siera leone mexico red indians mali na tobago kuhakikisha leo linashuka bonge la mvua pugu mafuruko ya ukweli yatokee jangwani ila naamin hawatafanikiwa walozi wa rumumba
 
Leo ndio tunaenda kufungua kampeni, wiki iliyopita ilikuwa fiesta pale jangwani

Jana Mbeya kulikuwa na tamasha la muziki la kufa mtu,Baada ya burudani kuisha nusu ya watu waliokuwepo uwanjani waliondoka! Magufuli alihutubia kundi dogo tu la wanafunzi.
 
Jana Mbeya kulikuwa na tamasha la muziki la kufa mtu,Baada ya burudani kuisha nusu ya watu waliokuwepo uwanjani waliondoka! Magufuli alihutubia kundi dogo tu la wanafunzi.
ushabiki mwingine jamani ni wa kitoto tunachosubiri hapa ni Update za Jangwani kabla ya umeme kukatwa
v
attachment.php

Hiyo ni Mbeya na bado sioni hao wanafunzi
attachment.php
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom