Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Status
Not open for further replies.
Watu tupo hapa kuanzia jana usiku after part tupo hapa na FRIENDS OF LOWASSA.


SWISSME.
 
ukifika tuma picha za malofa apo uwanjani alafu utuambie kama kuna
malori au amna
 
Tupo namalofa wenzangu tunaelekea jagwani kwa mapenzi yetu tunatembea kwa mguu toka mbagala hadi jagwani . ccm lazima ing'oke mapema hiyo octb 25.
 
Kitanuka !
Ila piga uwa , sie wa mikoani tuna hakika hatutopata live ivent !
Kwani kupitia jumuia mpya ya ccm Tanesco itatudhibiti tu ! Jumuia yao hii wanaitumiaga nyakati kama hizi , kwa muradi wa dawa isisambae!
 
Sisi mbeya tulikuja jangwani usiku na kamati yangu ya ufundi kucheck mazingira tumerudi baada ya kuona Hamna wanga ila nape angalie Lowasa mabadiliko mabadiliko Lowasa Amen
 
Makamanda naomba muweke picha za yanayojiri basi kamanda coz hata live update c ioni tena anzisheni mkifika basi kamanda
 
Leo ndiyo leo !
Saa zote zitakuwa kamili !
Watulize mishono akina double F (FF) dawa ziwaingie vizuri , ziwasambae maungoni !
Mamaee !
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom