Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Status
Not open for further replies.
habari zenu wakuu kwanga niwashkuru kwa uwepo wenu na ufatiliaji wa matukio mbalimbali ya matukio yanayofanyika jangwani naamini kila moja atakuwa na afya njema siku ya leo naomba tuwe pamoja katika suala la kujuzana matukio na kinachojiri Leo jangwani nahamini kuwa kila mtu anayefuatilia Uzi huu ni mwanamapinduzi na pia anataka mabadiliko ombi naomba Mwenye picha zozote za kinachojili jangwani atupie hapa
tulia wewe kiherehere cha nini? ni uzinduzi tunataka mgombea jukwaani kueleza sera mbadala sio kuweka walimbwende kuuza sura! au kama ni show ya urembo tujulishane mapema.
 
Tupo namalofa wenzangu tunaelekea jagwani kwa mapenzi yetu tunatembea kwa mguu toka mbagala hadi jagwani . ccm lazima ing'oke mapema hiyo octb 25.

Namie lofa mwenzenu ndo namalizia supu hapa nione kama lofa mwenzangu, my wife wangi, atakubali tuvuke wote au ataenda hom kujoin lofa wetu, watoto wetu.
 
Nimepiga dera langu la blue na nyekundu na remba langu kubwa hapa, maridadii kabisa, sijawahi kupendeza kiasi hiki.
Peopleeeeez power!

Nakuomba kipenzi cha moyo wangu, nipm nikuone lofa mwenzangu...nakuomba jamani. Sorry hivi hii ni private msg ama nimejibeba jukwaani maana naona kama sio vile...
 
Naona hapa jangwani watu washafurika mapema hii mwenye picha awadhibitishie wengine tafadhali
 
Nakuomba kipenzi cha moyo wangu, nipm nikuone lofa mwenzangu...nakuomba jamani. Sorry hivi hii ni private msg ama nimejibeba jukwaani maana naona kama sio vile...

Usijali, umesamehewa dhambi zako zote mpenzi wangu.Hata ingekua gazetini kabisa, mimi nakutafuta sasa hivi.
Lile limwanaume langu zumbukuku nimelitosa nilipoona lomekaa kiCCM.
 
Mie ni Pumbavu na Lofa tena certified yaaani CPL (certified Pumbavu and Lofa). Nasikia raha. Nina mpango wa kutayarisha Tshirts zenye logo ya CPL (T)
 
TAARIFA: Kuna tetesi kuwa leo mvua zitanyesha nyingi sana kuanzia saa 6 mchana mpaka saa 2 usiku. Jiandaeni mianvuli.
 
Jmn ccm inatukatikia vizuri tunashika shika kila mahali wakilegea tunapiga dyudu dyudu malofa wenzetu tupeni update. Za jangwan na picha kwa sana hakuna repota apo
 
Ataimbisha nani? Alhaji Duni Haji au Maalim Seif?

Ilikuwaje hata ma alhaji kujiunga na kwaya za Kanisa?

Hao waliokuwa hawana kwaya za kanisa ndio wanaowalawiti masheikh wetu gerazani kwao
 
TUKONJIANI WANAUME WA NGANGARI TUNAKUJA
Wanaume eeeeeeeeeee
Leo Magamba wanaufyata na k attachment-1.jpeguufyatu
 
Nimepiga dera langu la blue na nyekundu na remba langu kubwa hapa, maridadii kabisa, sijawahi kupendeza kiasi hiki.
Peopleeeeez power!

Hongera sana mdogo wangu Ms Lincoln, pambana!!! Jana kuna watu walisambaza ujumbe kuwa leo kuna mvua kubwa na upepo mkali ukanda wote wa pwani; je hali ya huko Dar ikoje?? Huku kwetu bara umeme umekatwa lakini kwa kutarajia hili tumechangishana tumenunua dumu tatu (75 litres) za petrol na tumewasha generator tuko na wadau mtaa mzima. Muda huu tuko tunaangalia na kusikiliza onyesho la hotuba ya Mwalimu Nyerere (Kilimanjaro hotel 1995) kuhusu wazanzibara na wazazinbari halafu itafuata hotuba ya Mwalimu Nyerere Mkutano Mkuu 1995 kuhusu mabadiliko ndani na nje ya CCM. Kwa kuwa tuliangalia shughuli yotee ya uzinduzi wa kampeni ya CCM, tunahitaji tuangalie vilevile shughuli yotee ya uzinduzi wa kampeni ya uKAWA ili tulinganishe. Leo ni raha tupu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom