USILETE UONGO. HIVI VIMANYUNYU NI DALILI YA NEEMA. Muumba anasafisha maeneo vumbi lisiwatese watu uwanjani. kuanzia saa6 hakuna manyunyu hakuna mvua. NAKUHAKIKISHIA. UONE CHAGUO LA MUNGU LIPI. CCM ufunguzi wao hawajapata baraka ya namna hii. ni AJABU NA KWELITAARIFA: Kuna tetesi kuwa leo mvua zitanyesha nyingi sana kuanzia saa 6 mchana mpaka saa 2 usiku. Jiandaeni mianvuli.
Hongera sana mdogo wangu Ms Lincoln, pambana!!! Jana kuna watu walisambaza ujumbe kuwa leo kuna mvua kubwa na upepo mkali ukanda wote wa pwani; je hali ya huko Dar ikoje?? Huku kwetu bara umeme umekatwa lakini kwa kutarajia hili tumechangishana tumenunua dumu tatu (75 litres) za petrol na tumewasha generator tuko na wadau mtaa mzima. Muda huu tuko tunaangalia na kusikiliza onyesho la hotuba ya Mwalimu Nyerere (Kilimanjaro hotel 1995) kuhusu wazanzibara na wazazinbari halafu itafuata hotuba ya Mwalimu Nyerere Mkutano Mkuu 1995 kuhusu mabadiliko ndani na nje ya CCM. Kwa kuwa tuliangalia shughuli yotee ya uzinduzi wa kampeni ya CCM, tunahitaji tuangalie vilevile shughuli yotee ya uzinduzi wa kampeni ya uKAWA ili tulinganishe. Leo ni raha tupu

Rizki anaetowa ni mmoja tu, hata mimi mwenyewe sina uwezo wa kuitafuta. Inanifata nilipo bila kujuwa imefikaje. Kumbuka hilo.
Jukwaa linatakiwa lijengwe na mainjinia.Watu wakija dondoka hapo mtalaumu nani?
Wamekata umeme mwanza tafadhari sana malofa wenzangu mtupe update
Police wametangaza vita ukawa vs police ccm
Kwanini kova asivae tu gwanda?