Niko Las Vegas Boulevard USA, what's going on down there bongo? Nani anaongoza harakati?
Jamani vituo gani vya tv vitarusha matangazo yakampeni ya ukawa toka jangwani?
Ni mvua kubwa inakuja. Naona hakuna kitakachofanyika leo, hata isiponyesha nyingi watu hawatakuja kwa kuogopa mvua
Mungu amewapoteze ccm.walikua wwnataka kuleta mvua ya mapepo.sauti ya wengi ni sauti ya mungu
Usijali, umesamehewa dhambi zako zote mpenzi wangu.Hata ingekua gazetini kabisa, mimi nakutafuta sasa hivi.
Lile limwanaume langu zumbukuku nimelitosa nilipoona lomekaa kiCCM.
Huku wameshakata umeme kitambo.
Leo ndiyo leo !
Saa zote zitakuwa kamili !
Watulize mishono akina double F (FF) dawa ziwaingie vizuri , ziwasambae maungoni !
Mamaee !
Jaman naombe mnijurishe,watarusha matangazo kupitia chanel gan?
Mvua ya baraka tumeipata. Hali ya hewaniMungu amewapoteze ccm.walikua wwnataka kuleta mvua ya mapepo.sauti ya wengi ni sauti ya mungu