Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

Status
Not open for further replies.
hakuna namna nyingine TBC inawabidi watuonyeshe tu na mimi nitachukua muda fulani kusikiliza uchambuzi wao. Goli la mkono naona lageuka kuwa Own Goal (OG)
 
Mboe anajua kuongoza banaaa bt this time ni zamu ya hon lowasa next niya mboe haina shaka
 
Tunaandaa utaratibu mikutano yote itabidi ipate kibali cha mtendaji mkuu wa hali ya hewa haaa haaa.

Hongera sana mdogo wangu Ms Lincoln, pambana!!! Jana kuna watu walisambaza ujumbe kuwa leo kuna mvua kubwa na upepo mkali ukanda wote wa pwani; je hali ya huko Dar ikoje?? Huku kwetu bara umeme umekatwa lakini kwa kutarajia hili tumechangishana tumenunua dumu tatu (75 litres) za petrol na tumewasha generator tuko na wadau mtaa mzima. Muda huu tuko tunaangalia na kusikiliza onyesho la hotuba ya Mwalimu Nyerere (Kilimanjaro hotel 1995) kuhusu wazanzibara na wazazinbari halafu itafuata hotuba ya Mwalimu Nyerere Mkutano Mkuu 1995 kuhusu mabadiliko ndani na nje ya CCM. Kwa kuwa tuliangalia shughuli yotee ya uzinduzi wa kampeni ya CCM, tunahitaji tuangalie vilevile shughuli yotee ya uzinduzi wa kampeni ya uKAWA ili tulinganishe. Leo ni raha tupu
 
Arusha wamekata lakini tumejiandaa vyakutosha hata wasiporudisha hadi kesho jioni mambo pouwa.
 
Rizki anaetowa ni mmoja tu, hata mimi mwenyewe sina uwezo wa kuitafuta. Inanifata nilipo bila kujuwa imefikaje. Kumbuka hilo.

na-share na wewe maneno machungu aliyokuambia pole dear si wote watakao kuudhi
 
Sio ukanda kaskazini tumesoma banaaaa huyo magufuli kuingea yenyewe hajui
ha haa haaaa.... adanganywi mtu..... wewe si mmoja wetu.... si mmoja wa malofa na wapumbavu..... hatudanganyiki.... niko mwanza hapa namsubiri raisi tuendeleze ukombozi....
 
Jangwani
11960021_916583558401552_1405350591055273061_n.jpg
 
Aiseee kweli nimeamini ukawa ni mpango wa mungu. Yaani hapa jangwani hali ya hewa nzuri sana hamna jua hamna joto unaweza kukaa kwa rahatupu bila vumbi dah. Mungu anataleta mabadiliko kwa kwa malofa na wapymbavu
 
Jamani tupatieni update ya hali ya jangwani ss hv kukoje watu wameanza kuingia??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom