HALELUYA MOSHI
JF-Expert Member
- Aug 14, 2014
- 2,121
- 1,211
Dar es Salaam leo kuna dalili ya mvua kubwa kunyesha. Nauliza UKAWA wamefunga maturubai na mimi nije kwasababu siko tayari kunyeshewa na mvua kuwasikiliza kina Mbowe wakitunga uongo wa kumsafisha fisadi.
kumbe wewe ni "mkeku"?Hiyo id yako tu imenifanya nikudharau.
Nadhani umeshanielewa, sasa ukileta ubishi tu nasema maana yake kwa wasiojua.
kumbe wewe ni "mkeku"?
Mkuu hilo ni tangazo linalipiwa,ukawa wapo chini sana kwenye mambo km hayo. Tumepiga kelele sana lkn hakuna kinachoendelea. Chadema wanadharau sana social media ukilinganisha na ccm kwa sasa. Utaona hata leo tukio kubwa km hili lkn utakuta member wa kawaida ndo wanaleta update hapa. Inakera sana kwakweli!jamiiforum wiki iliyopita mliweka picha za makufuri kila unapofungua post humu ndani please wekeni picha ya lowassa pia leo.
Mbalizi
Daah. Kwetu malofa na wapumbavu wa kagera umeme umechukuliwa toka saa 11 alfajiri.Werevu wameshachukua umeme wao.Sijui werevu wenzao kama wamewagawia generator au wans uhakika nao kwamba kila mmoja ana solar panel.
Mkuu hilo ni tangazo linalipiwa,ukawa wapo chini sana kwenye mambo km hayo. Tumepiga kelele sana lkn hakuna kinachoendelea. Chadema wanadharau sana social media ukilinganisha na ccm kwa sasa. Utaona hata leo tukio kubwa km hili lkn utakuta member wa kawaida ndo wanaleta update hapa. Inakera sana kwakweli!
Leo ndio tunaenda kufungua kampeni, wiki iliyopita ilikuwa fiesta pale jangwani
Mbeya
ushabiki mwingine jamani ni wa kitoto tunachosubiri hapa ni Update za Jangwani kabla ya umeme kukatwaJana Mbeya kulikuwa na tamasha la muziki la kufa mtu,Baada ya burudani kuisha nusu ya watu waliokuwepo uwanjani waliondoka! Magufuli alihutubia kundi dogo tu la wanafunzi.
Mafuriko yameanzia huku huku mtandaoni. Angalia idadi ya comments na sasa bado Ni asubuhi
Ha ha ha!!Kweli mmepata mafuriko huko sio mchezo. Na ukizoom hizo picha wahudhuriaji ndo kama hawa