Maandalizi ya msiba

Maandalizi ya msiba

Uzi uanzishe mwenyewe, halafu watu wanaweka mitazamo yao unaanza kuwafurumishia matusi ya nguoni...
Sio matusi ni maneno simpo unaelewa hilo! au na wewe ni mwoga wa kifo?
 
Sio matusi ni maneno simpo unaelewa hilo! au na wewe ni mwoga wa kifo?

Ningekuwa muoga wa kifo, usiongeona comment yangu kwa uzi wako...

Kifo ni mwisho wa kila mwili wenye pumzi, ni hatma itarajiwayo kwa kila mwenye nafsi hai...
 
Ningekuwa muoga wa kifo, usiongeona comment yangu kwa uzi wako...

Kifo ni mwisho wa kila mwili wenye pumzi, ni hatma itarajiwayo kwa kila mwenye nafsi hai...
Nakulelewa lakini kwetu wakristo kifo ni ushindi.
 
Oya masela na mademu wa jf hivi nani hili jambo lilishamtokea yeyote kati yenu?

Pale ambapo jirani yako anakaribia kudanja kwa ugonjwa mbaya maybe cancer au mshtuko wa moyo halafu wewe ukishajua kua kwa taarifa za ndugu zake kua "huko hospitali flani bin flani kwakweli amezidiwa na hatuna matumaini", basi wewe upo bize kuselekt mavazi ya mtoko wako msibani kwenye akili yako.

Ilishawahi kukutokea wewe?
Share nasisi hapa tucheke wote.
Kesho akusokotee kitu ikiwa na kiwango ya leo ina ubora hafifu man
Ushimen
johnthebaptist
Mnasemaje
 
Wewe ni wa kufwa na kuzikanaa๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Ni heshima Sana kuzikwa nawe๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Back
Top Bottom