Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Kufa utakufa tu ๐๐Mimi ni genius.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufa utakufa tu ๐๐Mimi ni genius.
Sio matusi ni maneno simpo unaelewa hilo! au na wewe ni mwoga wa kifo?
Kesho akusokotee kitu ikiwa na kiwango ya leo ina ubora hafifu manOya masela na mademu wa jf hivi nani hili jambo lilishamtokea yeyote kati yenu?
Pale ambapo jirani yako anakaribia kudanja kwa ugonjwa mbaya maybe cancer au mshtuko wa moyo halafu wewe ukishajua kua kwa taarifa za ndugu zake kua "huko hospitali flani bin flani kwakweli amezidiwa na hatuna matumaini", basi wewe upo bize kuselekt mavazi ya mtoko wako msibani kwenye akili yako.
Ilishawahi kukutokea wewe?
Share nasisi hapa tucheke wote.
OK; Mwanaume anakuwaje mkuu?Wewe ni tahira wa wapi wewe,mbona umelegea hivyo,wewe ni mwanaume kweli?
Utakufa tuPeleka ujinga wako huko,mimi niko fit for tati
Wanamvutisha mbichi tatizo...
Mama hii kolabo yetu itamuua๐Wanamvutisha mbichi tatizo...
Mikuki imezidi mqacheni wakuu๐We mtoa uzi wewe, Bangi sio msosi
๐๐MpuuziMama hii kolabo yetu itamuua๐
Glenn wangu tapelii๐๐Nimekumisimo ujue
Wewe ni wa kufwa na kuzikanaa๐๐๐๐๐๐Glenn wangu tapelii๐๐
Ni heshima Sana kuzikwa nawe๐๐๐๐คฃ๐คฃ๐คฃWewe ni wa kufwa na kuzikanaa๐๐๐๐๐๐
Nimecheka kwa sauti๐๐๐๐Ni heshima Sana kuzikwa nawe๐๐๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Shika adabu yako wewe,unanijua au unanisikia?