CCM lazima ijambeSimiyu IMEFUNIKA HATARI SANA.watu hawajaenda kazini Boda boda Mama lishe hawajapika machinga hawajauza watumishi wamekaa kumsubiri Lissu.
Simiyu nzima Imezizima kazi zimesimama, shamra shamra kila kona, vifijo na mayowe . Ni mapokezi ya kihistoria
Watu wamechoka kubambikwa kesi na kuonewaHizi habari ....Jamaa atalazwa BP.
Mmewalipa pesa za siku ili wasifanye biashara zao wajirundike Kwenye mkutanoSimiyu IMEFUNIKA HATARI SANA.watu hawajaenda kazini Boda boda Mama lishe hawajapika machinga hawajauza watumishi wamekaa kumsubiri Lissu.
Simiyu nzima Imezizima kazi zimesimama, shamra shamra kila kona, vifijo na mayowe . Ni mapokezi ya kihistoria
Nileteeeni GwajimaaaaaaWakuu naona kama uchaguzi anachelewa vile, nataka kikachinje bichwa la mtu....
Aiseee !!Simiyu IMEFUNIKA HATARI SANA.watu hawajaenda kazini Boda boda Mama lishe hawajapika machinga hawajauza watumishi wamekaa kumsubiri Lissu.
Simiyu nzima Imezizima kazi zimesimama, shamra shamra kila kona, vifijo na mayowe . Ni mapokezi ya kihistoria
Simiyu IMEFUNIKA HATARI SANA.watu hawajaenda kazini Boda boda Mama lishe hawajapika machinga hawajauza watumishi wamekaa kumsubiri Lissu.
Simiyu nzima Imezizima kazi zimesimama, shamra shamra kila kona, vifijo na mayowe . Ni mapokezi ya kihistoria