inasemekana wanafunzi wanaosoma ifm waishio ktk hostel za kigambon kumekua na matatizo ya ujambazi na wamekua wakitoa taarifa polis lakin taarifa hazifanyiwi kazi,inasemekana tukio la kuibiwa na kulawitiwa limetokea na hapo ndipo wanafunzi wakapandwa na jazba kama hali inavyoendelea....wanaolawitiwa ni hao wanafunzi wa ifm au? mbona sijakuelewa mtoa thread
Yaani hawa watoto wa siku hizi balaaa, yaani mtu anawaibia na analawiti na kuondoka kwenye kambi ya vijana wa chuo. Haki ya mungu JKT muhimu sana kwao vinginevyo tutakuwa na kizazi cha ajabu. Mibaba nayo inaandamana kupinga kulawitiwa???
Niwakumbushe enzi za Tambaza, Konda akipiga mwanafunzi mmoja tu, taarifa zikifika shule watu wanaweka mkutano cafeteria na jioni watu wanaingia road kutembeza sako la nyani ngedere haponi kama mziki ukifungwa fire ilikuwa Dar nzima inapata habari.
Baba zenu wakatia fitina miaka 15 baadae sasa vijana wanavamiwa na kubakwa, huo mziki wa Tambaza ilikuwa Form IV tu sasa hawa wmefika six mpaka chuo.
Sasa hizo picha vipi.weka mda huu utaweka baadae saa ngapi?
JKT muhimu. midume mitatu kulawitiwa ni ajabu. la sivyo hao wanachuo wanatembea na wake za watu. kwa mijamaa imeamua kuwafanyia malipizi. C mnajua wanafunzi wa IFM na utanashati sasa uswazi wanaonekana matawi ya juu kumbe account yenyewe NMB haujawi hata kusoma balance ya 5M.
JKT muhimu. midume mitatu kulawitiwa ni ajabu. la sivyo hao wanachuo wanatembea na wake za watu. kwa mijamaa imeamua kuwafanyia malipizi. C mnajua wanafunzi wa IFM na utanashati sasa uswazi wanaonekana matawi ya juu kumbe account yenyewe NMB haujawi hata kusoma balance ya 5M.
Kwa habari za sasa Kova amewachomolea na wamegeuza maandamano yao wanaelekea kigamboni kukinukisha huko
Naomba wanaulinzi mukaimalishe ulinzi..... mambo yanaweza kualibika soon na kuepusha misiba isiyokuwa ya lazimaa
Niko ndani ya kivuko (panton) kubwa na kamanda Kova yupo humu tunavuka kuelekea kigamboni (naona mambo yameiva)