Maandamano IFM

Maandamano IFM

wanafunzi wamekusanyika Machava kumsikiza kamanda Kova pia kaambatana na mkuu wa upelelezi dar mkuu wa polisi dar
 
JKT muhimu. midume mitatu kulawitiwa ni ajabu. la sivyo hao wanachuo wanatembea na wake za watu. kwa mijamaa imeamua kuwafanyia malipizi. C mnajua wanafunzi wa IFM na utanashati sasa uswazi wanaonekana matawi ya juu kumbe account yenyewe NMB haujawi hata kusoma balance ya 5M.
 
wanaolawitiwa ni hao wanafunzi wa ifm au? mbona sijakuelewa mtoa thread
inasemekana wanafunzi wanaosoma ifm waishio ktk hostel za kigambon kumekua na matatizo ya ujambazi na wamekua wakitoa taarifa polis lakin taarifa hazifanyiwi kazi,inasemekana tukio la kuibiwa na kulawitiwa limetokea na hapo ndipo wanafunzi wakapandwa na jazba kama hali inavyoendelea....
 
Yaani hawa watoto wa siku hizi balaaa, yaani mtu anawaibia na analawiti na kuondoka kwenye kambi ya vijana wa chuo. Haki ya mungu JKT muhimu sana kwao vinginevyo tutakuwa na kizazi cha ajabu. Mibaba nayo inaandamana kupinga kulawitiwa???

Niwakumbushe enzi za Tambaza, Konda akipiga mwanafunzi mmoja tu, taarifa zikifika shule watu wanaweka mkutano cafeteria na jioni watu wanaingia road kutembeza sako la nyani ngedere haponi kama mziki ukifungwa fire ilikuwa Dar nzima inapata habari.

Baba zenu wakatia fitina miaka 15 baadae sasa vijana wanavamiwa na kubakwa, huo mziki wa Tambaza ilikuwa Form IV tu sasa hawa wmefika six mpaka chuo.

cra.p!
 
Sasa hizo picha vipi.weka mda huu utaweka baadae saa ngapi?
 
JKT muhimu. midume mitatu kulawitiwa ni ajabu. la sivyo hao wanachuo wanatembea na wake za watu. kwa mijamaa imeamua kuwafanyia malipizi. C mnajua wanafunzi wa IFM na utanashati sasa uswazi wanaonekana matawi ya juu kumbe account yenyewe NMB haujawi hata kusoma balance ya 5M.

omba usibananishwe tena wewe unaonekana simple tu watu wanamaliza..
 
JKT muhimu. midume mitatu kulawitiwa ni ajabu. la sivyo hao wanachuo wanatembea na wake za watu. kwa mijamaa imeamua kuwafanyia malipizi. C mnajua wanafunzi wa IFM na utanashati sasa uswazi wanaonekana matawi ya juu kumbe account yenyewe NMB haujawi hata kusoma balance ya 5M.

Angekuapo mdogo wako huku ungeelewa nini kinaendelea kigamboni. nishaleta haya malalamiko. mgunge akasema alifatilia lkn ndo kwanza yamezidi
 
Kwa habari za sasa Kova amewachomolea na wamegeuza maandamano yao wanaelekea kigamboni kukinukisha huko

Naomba wanaulinzi mukaimalishe ulinzi..... mambo yanaweza kualibika soon na kuepusha misiba isiyokuwa ya lazimaa

kova waliondoka nae ila hajavuka.
 
Wanafunzi wa Chuo cha IFM wakiwa nje ya Ofisi ya Wizara ya mambo ya nje ambapo ndipo wamefikia kwa Maandamano yao

****

Katika hali isiyo ya kawaida Wanafunzi wa Chuo cha IFM wameandamana mpaka Ofisi ya Wizara ya mambo ya Ndani muda huu, Chanzo cha maandamano Bado hakija fahamika, Mpaka sasa Kamanda Kova ameshafika eneo la Tukio kuongea na wanafunzi hao.

Habari Kamili Tutawaletea Baadae endelea kufuatilia hapa hapa.. Tone Multimedia Live Group Tupo eneo la Tukio.

Picha na Blogs za Mikoa
 
Ukichanganya na stress za Management Accounting(M.A), basi ni sababu tosha za andamano
 
Ni haraka gani uliyonayo ya my post kabla hujawa na uhakika? Au umeamua kuwahi kabla hujawahiwa?
 
Shughuli imeanza 2013. Mpaka ifike 2015 CCM lazima irambe mchanga!
 
Wanaokaa hostel za kigamboni wanalalamika wadada wanabakwa na raia.
Wanaume wanalawitiwa na serikali ya mtaa serikali hawafanyii kazi malalamiko hayo.
Nilimuuliza mmoja pale ppf tower akanijibu hivyo
 
Back
Top Bottom