Hakuna nini sasa? We toka mwanzo hapa huna hoja yeyote zaidi umeshikilia tu mtoto wa miaka 9, nimekwambia toa andiko kwenye biblia lenye kueleza ni umri gani binti ndio hutakiwa kuolewa? Huna andiko, ok hakuna andiko basi lete andiko kwenye biblia lenye kuonesha kuwa ndoa kama ya Muhammad haikubaliki kwenye ukristo ila pia huna andiko.
Nikakuuliza basi je unajua umri ambao mabinti walikuwa wakiolewa enzi hizo za kibiblia? Unasema hujui na hautaki kujua.
Mwanzo hivyo hivyo ulikuwa unasema waislamu wauwaji makatili wanauwa kwa ajiri ya Mungu wao, nikakuletea andiko kwenye biblia kuonesha Yehova alivyokuwa anaagiza yafanyike mauwaji, ukaanza oh hayo mambo ya zamani sijui hawajaagiza kuuwa wasio wakristo! Yani unanifurahisha sijui kama ni mkristo kweli wewe.