Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Mimi sitafuti pa kutokea bali wewe ndio unapotezea ukweli hapa, suala la mimi kukuonesha kwenye biblia kwamba mabinti waliolewa na umri wa miaka 12 hilo ni jambo moja ila wewe kudai kwamba ndoa ya Muhammad ni haramu hilo ni jambo ambalo umeshindwa kuthibitisha hayo madai mpaka sasa. Unaleta kipimo cha miaka 18 kuwa ndio binti anatakiwa kuolewa ila hauoneshi hiyo miaka 18 umetoa kwenye mafundisho gani ya ukristo?Wewe ndiye ulisema Wakristo walioa mabinti wa umri wa miaka 12, nimekuomba uonyeshe wapi imeandikwa umeshindwa na kuishia kutafuta pakutokea, hauwezi kuhalalisha kitu amabcho mumekiri wenyewe kuhusu mohammed lizee la miaka 50 kufanyia katoto ka miaka 9 ukatili wa kukagegeda na bila aibu mnamuabudu. Nilikua nadhani anasingiziwa tu, kumbe kweli.
Hapa Tanzania tu kisheria binti chini ya miaka 18 anaweza kuolewa sijui kama sasa wamebadili.