MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #21
Hee mkuu ni wewe uliyeandika hivi? Ina maana watu wafanye dhambi tusubiri hukumu siku ya siku hii dunia kweli ingekalika? Kama sisi binadamu si kazi yetu kulikuwa na haja gani kusema tumepewa kitabu ambacho ndani yake kina udhaifu huo mkubwa na tukakiamini kinatoka kwa Mungu?
Katika uislamu hakuna sharia ambayo imetungwa na mwanadamu, sharia zote katika uislamu zimetoka katika kitabu kitakatifu Quran ingawa kwa hili lilotokea Iran si kwamba yule mwanamke alihukumiwa kifo, yule mwanamke alikufa mikononi mwa polisi labda aliteswa sana ama vyovyote ndio maana watu wanaandama kupiga hayo mauaji si kwamba alihukumiwa kifo kutokana na Quran na hukumu za kiislamu
Ndio mana nimekwambia kwanza fuatilia ujue nini kinatokea duniani ndio uje hapa.
Dhambi ipi, wewe una haki gani ya kumhukumu binadamu ambaye haukumuumba, kichwa cha huyo binti hukukiumba, leo unamuua kisa nywele zake zimeonekana kidogo, dini imewafanya mumekua mazombi ya kutupwa.