Maandamano Iran: Vifo vyafikia 41 baada ya kisa mwanamke kufia mikononi mwa polisi kwa 'kutojisitiri'

Dhambi ipi, wewe una haki gani ya kumhukumu binadamu ambaye haukumuumba, kichwa cha huyo binti hukukiumba, leo unamuua kisa nywele zake zimeonekana kidogo, dini imewafanya mumekua mazombi ya kutupwa.
 
Dhambi ipi, wewe una haki gani ya kumhukumu binadamu ambaye haukumuumba, kichwa cha huyo binti hukukiumba, leo unamuua kisa nywele zake zimeonekana kidogo, dini imewafanya mumekua mazombi ya kutupwa.
Narudia yule mwanamke hakuhukumiwa kifo ni kama vile wewe umemkamata mwizi akafia mikononi mwako kabla kupewa hukumu na Mahakama. hivyo tu.
 
Narudia yule mwanamke hakuhukumiwa kifo ni kama vile wewe umemkamata mwizi akafia mikononi mwako kabla kupewa hukumu na Mahakama. hivyo tu.

Mngeacha kichwa chake asingekufa, kiliwahusu nini na dini yenu hiyo mizuka ya kuuana tu...
 
Iran warudie dini yao ya asili Zoroastrianism. Hawajachelewaa
 
Vyombo vya habari vya magharibi vinawafanya watu weonekane wapumbavu, wakiandama waislamu kelele, Wakati Catalonia wanaandamana Kila siku kudai uhuru wanapotezea, yellow vest kule ufaransa wameuawa kimya yaani huwa nikicompare taarifa zao huwa kama kipindi Cha vichekesho
 
Vyombo havina matatizo, vinaangaza mambo ya watu wenu waliochoka sheria za kidini zinazokandamiza binadamu...
 
Hizi dini za kuletwa na MELI SIO NZURI MKUU. BORA NIAMINI KWENYE MAPANGO NA MITO MIKUBWA KULIKO KULISHWAA.UPUUZI NA HAWA WATU .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…