Hakuna huyu ni muuaji atasemwa mapaka basi. Arudi asema Ben Saanane yuko wapi, Azory Gwanda yuko , sandarusi za maiti coco beach zilikuwa za akina nani and many many others who disappeared mysreriously!Kila siku nakuasa uachane na waliokufa! Hivi Unadhani huwezi jenga hoja ikaeleweka bila kutaja JPM! Jaribu angalau mara moja uone.
Hitlter alisema hatujazaliwa, akasema tumezaliwa na atasema tukiwa tumekufa kwa vizazi vijavyo. Magufuli hivyo hivyo atasemwa mpaka mwisho wa dunia! Maana aliua watu wasio na hatia. kama ulikuwa mnufaika wa mauaji, subiri hukumu yako kwa mungu wa Mbinguni!
Wamekufa lkn wameacha maumivu makili kwa watu. Tunawataka warudi watuoneshe ndugu zetu wako wapi