Mkuu hawa hapa ni wakenya na ni watu wazima. Wengine bila ya shaka educated kuliko wewe na miye:
View attachment 2566810
Kama ungekuwa shetani, Jini, Mungu au malaika ungekuwa na uhalali kuyasema uliyosema.
Sasa ndugu yangu wewe makongorosi huko hujihurumii ndugu?
Kesho watakuwapo vigogo wote wa Azimio la umoja, wafuasi wao na hata wengi wengine.
Kuumia, kukamatwa au kufa si ndiyo gharama waliyolipa kina kinjekite, Milambo, Isike, Mkwawa, Mawazo, Lijenje, Steve Biko, Solomon Mahlangu, Malcolm x, Martin Luther na wa namna hiyo wakiwamo wale wa vita vya kagera?
Kufa kupigania haki hiyo ni ibada. Heri kufa unapigania haki kuliko kufa kwa malaria, ebola au corona.
Kwamba Ruto na genge lake watakuwa wanakunywa chai? Kwani umewasikia wanasemaje?
Mlijaribu kuwapa ushauri wa siri ya mafanikio yenu. Sasa hivi Yuko isolated anaimba zaburi 23:1 ,-- bwana ndiye mchungaji wake.
Hiiiiiiii!