We ni muoga tu kama wengine, yaani kama siyo Raila kenya inayosifika kwa kuwa na katiba nzuri yenye uwazi na mambo mengine mengi wasingekaa waweze kufanya lolote kwa njia ya maandamano, Raila sio Kiongozi almradi tu aongoze chama, Kenya ya leo huwezi kuzungumzia jambo lolote linalohusu taifa bila kumuhusisha kumuhusisha BABA(RAILA AMOLO ODINGA)Huyu mzee amekwisha kula chumvi nyingi, Kwanini anawaponza vijana kipuuzi namna hii, huyu mzee hana hekima kabisa, ruto ampe kanafasi akae mpaka atakapomaliza muda wake huyu anataka kufa na wengi huyu si bure
Katiba waliyopata iliwapa nini mbona bado wanakimbia kimbia barabarani .Kwa maandamano kama haya ya Kenya watapata kila wanachokitaka tena kwa kwa wakati.
Hivi kwetu tokea 1990s iko wapi katiba mpya? Bado tunakenua.
Tunataka haki? Hatutaki tozo? Tukutane Tahrir.
Team Ruto wanamtaka BABA aache vurugu coz anaharibu uchumi,, na wamemuhakikishia this time hakutakua na shake hand🤣🤣Hii ni Kenya nzima mkuu:
View attachment 2561291
Kwani umemsikia Ruto Gachagua au genge lao wanasema je?
Katiba waliyopata iliwapa nini mbona bado wanakimbia kimbia barabarani .
Team Ruto wanamtaka BABA aache vurugu coz anaharibu uchumi,, na wamemuhakikishia this time hakutakua na shake hand🤣🤣
Habari gani .?Wenye nchi wananchi. Ukiona wanakimbia kimbia barabarani ujue kuna wahuni wanataka kujimilikisha nchi. Katiba hii ndiyo inayowapa uwezo sasa wa kuwakoromea wahuni hao ambao vinginevyo bila aibu wangewaambia wahamie Burundi.
Walipo sasa wahuni wanapumulia mashine.
Habari ndiyo hiyo.
Mkuu hawa hapa ni wakenya na ni watu wazima. Wengine bila ya shaka educated kuliko wewe na miye:Habari gani .?
Wenye nchi jumatatu watakuwa wanakunywa chai kwa mrija, maskini wako barabarani wanarushiana risasi na mawe wenyewe kwa wenyewe. siku wakichoka wanaanza kuzikana na maisha yanarudi square 0. Ndicho kilichotokea kipindi kile na kinachoenda kutokea sasa hivi.
Huyo Odinga hiyo katiba aliyopambania imeenda kuwapa nini wakenya .? zaidi ya kumpa faida yeye na kundi lake huko wafuasi wake wakizidi kujichokea kimaisha .?
Binadamu ni lini tutambua jukumu letu hapa duniani .?
Kuwa barabani ndiko kusimamia katiba. Katiba ikipotoshwa silaha pekee aliyo nayo mwananchi ndiyo hii. Katiba inakiukwa ulitaka wahamie mnakohamiaga nyie, Burundi?Katiba waliyopata iliwapa nini mbona bado wanakimbia kimbia barabarani .
Ukienda barabarani faida gani unapata .?Kuwa barabani ndiko kusimamiw katiba. Katiba ikipotoshwa silaha pekee aliyo nayo mwananchi ndiyo hii. Katiba inakiukwa ulitaka wahamie mnakohamiaga nyie, Burundi?
Waulize walamba asali na wahuni watakwambia. Vijana wa hovyo wako busy na ngono hawatakuwa na majibu. Kama wewe ni mmoja wa magrupu hayo kaa kwa kutulia wewe ni wa kuona si kuambiwa peke yake. Unaonekana kuwa na masikio ya kenge.Ukienda barabarani faida gani unapata .?
Mwanasiasa yupi duniani ulishawahi ona anafuata katiba .?
Mkuu hawa hapa ni wakenya na ni watu wazima. Wengine bila ya shaka educated kuliko wewe na miye:
View attachment 2566810
Kama ungekuwa shetani, Jini, Mungu au malaika ungekuwa na uhalali kuyasema uliyosema.
Sasa ndugu yangu wewe makongorosi huko hujihurumii ndugu?
Kesho watakuwapo vigogo wote wa Azimio la umoja, wafuasi wao na hata wengi wengine.
Kuumia, kukamatwa au kufa si ndiyo gharama waliyolipa kina kinjekite, Milambo, Isike, Mkwawa, Mawazo, Lijenje, Steve Biko, Solomon Mahlangu, Malcolm x, Martin Luther na wa namna hiyo wakiwamo wale wa vita vya kagera?
Kufa kupigania haki hiyo ni ibada. Heri kufa unapigania haki kuliko kufa kwa malaria, ebola au corona.
Kwamba Ruto na genge lake watakuwa wanakunywa chai? Kwani umewasikia wanasemaje?
Mlijaribu kuwapa ushauri wa siri ya mafanikio yenu. Sasa hivi Yuko isolated anaimba zaburi 23:1 ,-- bwana ndiye mchungaji wake.
Hiiiiiiii!
Vigogo kuwepo ndio itasaidia nini .? Risasi ikipigiwa sio kigogo wala kapuku, wote wanaingia mitini
Nani alisema kufa kupigania haki ni Ibada .? Jipaganie wewe na familia yako ndivyo neno linasema
Unajua leo tu kenya imepoteza kiasi kiuchumu .? Unafikiri ni nani anayeenda kuumia hapo.? Raila au Wafuasi wake .?
Akili za kuambiwa changanya na zako.
Ruto ni Raisi wa kenya hilo haliwezi kubadilika na huu mwaka hakuna nusu mkate, watu ambao hata 1% ya wananchi hawafiki hawawezi ondoa serikali madarani .Watakimbia barabarani wakichoka watarudi nyumbani kuijenga tena nchi
Makende wewe CCM jingampaka muite maji mma mkiambiwa kuandamana mnajibu waandamane na watoto wao na nyie andamaneni na mamazenu huko sukuma gang.
Wakenya nitawaoa wote mtakaokuja kama wakimbizi Tanzania.
Wanatumia siku 4 kwa wiki kupigania haki. Hawako vibaya.Wanapoteza siku nne kwa wiki...