Asilimia inayofikiwa na maji safi na salama yenyewe ndogo kama nini Mwaka juzi ilikuwa 9 % ya population,
Halafu hata hiyo asilimia ndogo sana uhakika wa kupata regular supply ya maji through out the year hakuna [emoji848][emoji848]
Inashangaza na kusikitisha sana